High Gross MDF Board za Kituruki

dimple

Senior Member
Dec 6, 2016
103
129
Habari,

Natafuta mdf board za kituruki ziwe high gross kama zile kwa sasa wanatengenezea makabati ya jikon au tv show case kwa anaejua ni nani anauza hizo board hapa Dar es Salaam atakua kanisaidia sana au kama kuna page ya insta inayouza hizo board anisaidie mfano ni kama haya makabati nime attach hapa chini.

20240412_165229.jpg
 
View attachment 2961649
Hivi hizi MDF Ni ngumu au Bora/Imara kama mninga.,maana zisijekuwa kama makabati YA kichna ambayo huwa hayadumu

Kwanini usitafute mbao mkongo au mninga Kisha tafuta fundi mzuri akudesignie kama MDF unayotaka maana Kuna ambao wanafanya copy n paste ukipata fundi mzuri
 
Ndugu, hizi MDF zina madhara ya kiafya, zinatoa mionzi( zina chemical mix ) inayo sababisha cancer-mninga utakufaa soma article hii: https://www.mountsinai.org/files/MS...as/Occupational-Medicine/MDFforCarpenters.pdf

Wanasema zaidi hivi:
Formaldehyde: What Are The Health Effects?
Prolonged exposure to formaldehyde can result in cancer, including nasal and sinus cancer and leukemia. These cancers take several years or decades to develop (usually 10-15 years). Working eight hours daily for 40 years at the level of the government standard would give you a risk of about two in a thousand for getting cancer.* When formaldehyde is present in the air, some individuals may experience adverse effects such as watery eyes, burning sensations in the eyes, nose, and throat, coughing, wheezing, nausea, and skin irritation.
Repeated exposure to formaldehyde may cause bronchitis or a skin- and asthma-like allergy. Some people are very sensitive to formaldehyde, whereas others have no reaction to the same level of exposure. There is limited evidence that formaldehyde may damage the developing fetus and affect female fertility.
 
Habari,

Natafuta mdf board za kituruki ziwe high gross kama zile kwa sasa wanatengenezea makabati ya jikon au tv show case kwa anaejua ni nani anauza hizo board hapa Dar es Salaam atakua kanisaidia sana au kama kuna page ya insta inayouza hizo board anisaidie mfano ni kama haya makabati nime attach hapa chini.

View attachment 2961649
Ukikosa kbsa nicheki chap mm ninazo ila Niko ddm

Asikudanganye mtu mdf zote zinatengezwa na wachina nyingi zinatoks Brazil na south Africa
 
Ingia insta search romefundihouse warehouse yao ipo mbezi beach. Ukihitaji kufanyiwa kazi hiyo fundi nipo 0713553387
 
Back
Top Bottom