Happy birthday Innocent Bashungwa, kwanini baadhi ya viongozi hutenguliwa ghafla!

Kama ni kweli basi hongera kwake, nimekuwa nikijiuliza sababu ya yeye kupanda vyeo harakaharaka sikuwa nikiijua.

Ila katika mambo huwa ananishangaza ni muonekano wake ambao ni tofauti na umri wake, anaonekana mdogo sana ingali ana umri mkubwa!
Wahaya hatuzeeki haraka umri na mionekano yetu ni tofauti sana fanya utafiti kisha njoo hapa ulike hii comment yangu.
 
Maturity level ya Innocent Bashungwa ni kubwa sana na anaamika na ataendelea kuaminika Kwa kila Rais, na ukiacha Baba yake Inno kusoma na rais magufuli lakini pia walikua marafiki wakubwa na Magufuli alimtreat Inno kama mwanae wa kumzaa kabisa
 
Hutomsikia Inno akimsema magufuli vibaya au kutukana viongozi wengine yeye hutimiza yanayomuhusu basi, na ni kiongozi alietuliza kichwa sa
Bwana inno alifanya ziara kusini huko liwale kucheki maafa ya mafuriko, ile amepanda jukwaani kulikuwa na mbibi mmoja hapo pembeni ya jukwaa akamsalimia kwa kumpa mkono kisha akambless na buku ten, nilifurahia sana hilo tendo la kumjali myonge
 
Back
Top Bottom