Hali ya Mvua April 2024: Eneo ulipo hali ikoje? Tupeane updates kuhusu Mafuriko | Hali ya Barabara | Maafa kutoka eneo ulipo

Cute Wife

Senior Member
Nov 17, 2023
153
389
Wakuu,

Hali ya mvua ndio kama tunavyoona, imekubali kwelikweli? Hali ikoje eneo lipo? Tupeane updates ya eneo uliko na kama unahitajika msaada wa haraka toa taarifa maepma kuepusha maafa zaidi.
 
Mvua inakuzuia usiende kazini? Acha uvivu

Labda km ofisi yako ni eneo la wazi
Mimi nahitaji msaada wa haraka tokea asubuhi sijatoka , kazini sijaenda, sina hata mia, sijui nitakula nini, na mvua inaendelea kunyesha na siku inakaribia kuisha.
 
Back
Top Bottom