TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.

Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).

Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein

Wasafi Media

View attachment 2968923

Pia soma
- Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu
RIP, brother
 
RIP
 
Hawa ni mavichwa panzi wakinywa bia mbili wanazima ndio manake wanadharau pombe mzee wangu ana miaka 87 ananyonya Konyagi mwitu ambayo mi siezi
Ni kikundi Fulani tu chenye wivu na starehe za watu
Dili nyingi michongo ya maana ya watu wenye akili inapatikana bar ,binafsi nilipata dili la kunitoa Tz nikiwa bar nakula safari baridi , wanywa vyoda lazima wawe na hasira wao soda moja tu ,tumbo limejaa🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom