Fursa za kazi kwa chemical and process engineer Tanzania

lucky_boy

Senior Member
Aug 9, 2017
101
204
Habari wana jamii forum, chemical and process engineering ni kozi nzuri sana kwa sasa japo kupata nafasi ya kuajiriwa ndio changamoto.

Naomba tutumie uzi huu kuandika fursa mbali mbali zinazohusiana na hii taaluma kwenye viwanda au taasisi mbali mbali.
 
Nimemaliza mwaka 2022. Nimefanikiwa kufanya internship mwaka mmoja baada ya hapo sijabahatika kupata nafasi sehemu nyingine.
Mkuu,Kozi kama hizi unaweza kuwa PIA mwalimu wa Chemistry na UKAWA Mwalimu Mzuri sana.Lakini Pia Unaweza kuwa Technical Sales Wa Chemical Substances Maana watu wengi ambao wanafanya Sales Za Chemicals wengi sio Wanataaluma.Kama Bado Uko Available Nicheck Inbox Tujadili Baadhi ya Fursa ambazo zipo Tayari kwa Upande wa Kuwa Mtu wa Sales
 
Unaweza kufanya nini na nini kwenye koz yako
-Process design -Process control -Quality assurance and control -Risk assessment and management -Production management -Production planning -Analysis and Presentation. Hizi ni baadhi tu
 
Mkuu,Kozi kama hizi unaweza kuwa PIA mwalimu wa Chemistry na UKAWA Mwalimu Mzuri sana.Lakini Pia Unaweza kuwa Technical Sales Wa Chemical Substances Maana watu wengi ambao wanafanya Sales Za Chemicals wengi sio Wanataaluma.Kama Bado Uko Available Nicheck Inbox Tujadili Baadhi ya Fursa ambazo zipo Tayari kwa Upande wa Kuwa Mtu wa Sales
Thanks for the Insight ✊🏾
 
-Process design -Process control -Quality assurance and control -Risk assessment and management -Production management -Production planning -Analysis and Presentation. Hizi ni baadhi tu
Nenda kanda ya ziwa jifunze upande wa kuproces dhahabu kwa kutumia chemical
 
Tatizo karatasi umeziamini njoo huku geita,msalala kuna watu wanafanya kazi plant za dhahabu na elution baada ya kuelekezwa mwezi mmoja kusimamia elution kuchoma dhahabu posho milion nje ya mshahara,tokeni Dar es salaam njoon huku porini mjaribu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom