kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,706
14,886
1000047107.jpg

2nd Leg Match

CAF CHAMPION LEAGUE

QUARTER FINAL.

Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc

Time: 9:00Pm

Stadium: Loftus Versfeld Stadium
1000047123.jpg


1000047120.jpg


More Updates following...

Kikosi Cha Yanga Kinachoanza
20240405_201357.jpg

Kazini kwetu kuna Kazi.

Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza.
downloadfile.jpg

Mpira unaendelea kwa kasi .

Timu zinashambuliana kwa zamu hapa.

30' Mamelodi wanapata free kick nje kidogo ya 18.
Inapigwa inaishia mikononi kwa Diarra.

32' Guede anajaribu kupiga kick inakuwa goal kick.

37' Yanga wanapata kona, inapigwa na Aziz haileti faida yoyote.

Mamelodi wanakosa Goli, kwa kosa la Mkude. Diarra ameokoa.
Inakuwa kona, inapigwa haileti madhara.

40' Free kick wanapiga Mamelodi haileti madhara.

43' Yanga wanapata kona haileti shida kwa Wapinzani.

HT.
0-0

2nd Half.
45' yellow card inatoka kwa Max Nzengeli.
Mamelodi wanapata free Kick nje kidogo ya 18.
Anaipiga haileti tabu.

48' Ayende yellow Card.

90' Full Time...Hakuna mbabe.

Mshindi anaamuliwa kwa Changamoto ya Matuta.

Penalty...
Aziz anakosa
Mamelodi wanapata

Okraa ..Anapata
Sirino Anakosa...

Dickson Job...Amekosaaa
Costa ....Anapata

Joseph Guede.....Amepata!!
20240405_231608.jpg
 
Back
Top Bottom