mamelodi sundows

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. vibertz

    Je, Nabi ataweza kuumaliza utawala wa Mamelodi kule Afrika Kusini?

    Kuna tetesi kuwa Nabi ameamua kwenda kufundisha klabu ya Kaizer chief baada ya kufikiana makubaliano ya pande zote mbili. Baada ya kuifundisha Yanga kwa misimu miwili yenye mafanikio kwa ngazi ya mashindano ya ndani na ya kimataifa, Nabi aliamua kutafuta changamoto nyingine huko Morocco na...
  2. kiwatengu

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  3. Labani og

    Simba Bora akimbie mechi kama atapangwa na Mamelodi Sundowns

    KILA nikiwafikiria Mamelodi Sundowns [emoji1221] siombei wakutane na Simba kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Jamaa wanatisha balaa. Ni bora wakutane na kinara wa kundi A ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa Wydad [emoji1173] au kinara wa kundi D ambaye kuna uwezekano mkubwa akawa ni...
  4. F

    Mimi Nikipewa Yanga au Simba tunasumbua sana Champions League kwa style ya Enyimba, Mamelodi Sundows, Diamond Platnumz

    Habari wadau, binafsi ni mshabiki wa yanga miaka mingi. Simba ni watani wangu japo tabia zetu zinafanana ndio maana tunaishia kushindana wenyewe kwa wenyewe mchangani huku Natamani sana kabla sijafa nije nione mechi ya simba na yanga ambayo sio ya ligi kuu wala kombe lolote local natamani...
Back
Top Bottom