Fahamu madhara/maudhi ya dawa za presha Nifedipine na Amlodipine

Dec 8, 2023
19
27
Amlodipine na nifedipine ni dawa za kawaida kwa watu wenye matatizo ya presha hapa nchini.

Moja ya madhara muhimu ya dawa hizi ni kuvimba kwa miguu juu ya kifundo cha mguu (ankle edema).

Matumizi ya dawa hizi yanaweza kusababisha miguu kuvimba, ambapo mgonjwa anaweza kufikiria amepatwa na tatizo jipya.

Endapo utapata uvimbe huo, ni muhimu kumuona daktari wako. Yeye atakushauri kuhusu mabadiliko ya dozi au kutoa dawa mbadala.

Ni vyema kuzingatia angalizo kwamba, usitumie dawa yoyote ya kuondoa uvimbe kama vile corticosteroids au dawa za kuondoa maji mwilini kama vile furosemide.

Regards:
Your pharmacist, the medicines expert
 
Hebu pita na hapa nipate mawazo yako juu ya mada tajwa hapa chini mkuu.

Baada ya ajali ulifika hospitali kwa uchunguzi zaidi?
 
Back
Top Bottom