UZUSHI Elon Musk alitaka kuinunua Facebook kisha kuifuta

Baada ya tathmini, tumebaini kuwa taarifa hii ni ya uzushi
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
Agosti 5, 2022 kuna uvumi ulivuma sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari vikionesha kuwa Elon Musk anataka kununua Facebook kisha kuifuta.

getty_1130598318_vv8eba.jpg
 
Tunachokijua
Elon Musk ni tajiri namba moja Duniani na mmiliki wa kampuni ya Tesla na Space X. Mwaka 2018 Elon Musk na kampuni yake walizima akaunti zao katika ukurasa wa Facebook, Mnamo Agosti 5, Mtumiaji wa Facebook aliweka chapisho lake kwenye kundi ikidai kwamba Tajiri Elon Musk ana mpango wa kuununua mtandao wa Facebook kisha aufute. ndiko hilo lilitembelewa na kupendwa "likes" 1,600 huku likiwa na maoni zaidi ya 184.

Hadi sasa mmiliki na mgunduzi wa Facebook hakutoa taarifa zozote kuhusu ukweli wa jambo hili ambapo wote wawili wapo kwenye mzozo wa chinichini kwenye mambo ya biashara.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom