Duka la nguo za kike linauzwa; location Kinondoni Vijana

diuretic

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
340
556
Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza Duka la nguo za Kike(Magauni na Jeans) linauzwa. Nimepata scholarship inabidi nikasome sasa sina wa kumuachia naitaji kuliuza.

Kuna magauni ya kike kama 70, Tshirt kama 15. Na jeans kama 150. kuna feni mbili, Kioo, Kabati la jeans, na linajitegemea lenyewe mita ya umeme hakuna kushare. Kodi bado miezi 4(Inaisha tarehe 15 mwezi wa 9).. Na account ya Instagram ipo vizuri kazi kwako tu kuendeleza biashara..

Location ni Kinondoni Vijana MK opposite na Utamu Taste Food, duka lipo barabarani kabisa mtaa una lami.
PICHA NITAATTACH KESHO

Mimi ndio mmiliki na muuzaji na wala sio dalali.. BEI NAUZA MILLION 1 NA LAKI 5..
Nakukabidhi vitu vyote nilivotaja apo juu.
mawasiliano yangu ni 0712798480
 

Attachments

  • 20240430_125827.jpg
    20240430_125827.jpg
    2 MB · Views: 6
Back
Top Bottom