Dodoma niko mpweke sana, nahitaji company (sio mpenzi) kwa ajili ya kufurahiana

Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar 😔

Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu yangu tu, nitajipikilisha pale au nitaoka kuku/beef na k vant kubwa pembeni pamoja na tonicwater. Nikichoka na kulewa, nitajibwaga chini na kulala hapo, kitandani patanipa stimu tu🤭

Weekends kama sijaenda Msalato, club au kupakua movie mpya, basi nakaa bar peke yangu nakunywa mpaka nalewa halafu naondoka mwenyewe.🥺 Kama siendi bar siku hiyo, nitakaa ndani kwangu kuanzia asubuhi na ikifika jioni nitatoka kutembeatembea angalau Mungu anione.

Huwa napata faraja pale mwana JF anapokuja Dodoma kunitembelea na kupiga stori mbili tatu, kunywa, kula na mengineyo💅akishaondoka, nami narudi zangu nyumbani kuendelea na upweke wangu.

Dodoma niko mpweke sana.
Natamani nirudi Dar.
Aliye Dodoma anipe kampani.
Ratiba yangu ndio hiyo hapo juu.

Msiniulize kuhusu mpenzi au ninapotolea hamu zangu.
Hii ni siri yangu. Utafahamu ukiwa rafiki yangu (uwe msiri pia)
Njoo Pm kama upo Dodoma. Maisha ndio haya haya....🍻🥂🍾🥂🍻🍺🍸🍷🥃🍿🍿🥤
Kaizer
 
Hello,naomba no yako tuchat
 
Ni PM tuongee
 
Back
Top Bottom