Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

Diwani mstaafu wa Kiromo anayeitwa Hassan Wembe, ambaye hana historia nzuri sana, amefanya jaribio la kihuni na kuudhi kwa kumzushia tuhuma za uongo aliyekuwa waziri Awamu ya Nne, mh. Shukuru Kawambwa.

Clip iliyorushwa mitandsoni na kusambaa kama moto wa nyika, ilikuwa ikimtuhumu ati Kawambwa ni dalali wa viwanja!

Imejulikana kuwa sababu ya mzozo ni uamuzi wa wanakijiji wa Kitopeni kuamua kufunga barabara yao kutokana na malori ya mchanga kuiharibu kabisa na kufan gari ndogo za wananchi kushindwa kupita.

Katika clip hiyo Diwani Hassan Wembe alidiriki kumvaa mwilini Kawambwa ambaye hakuonekana kubishana wala kurudisha maneno ya kuudhi ya mhuni Hassan Wembe.

Kwa tunaomfahamu Kawambwa toka alipokuwa wizarani (Miundombinu Ujenzi) huyu jamaa ni maji ya mtungi, hana presha au munkari.
Pengine kwa vile alikuwa mwalimu UDSM-Uhandisi.

Habari zilizopatikana ni kwamba katika hilo valangati la Diwani mstaafu Hassan Bwana alikuwepo jirani ya Kawambwa ambaye ni DSO mstaafu (Mkuu wa Usalama wilaya).

Na habari zinatonya kuwa huyu Wembe na grupu lake wamelala lupango.
Ni wajinga sana,, mtu alikuwa lecture udism, kawa waziri wizara mbali mbali... Eti Leo umpakazie udalali na kutaka kumdhalilisha... Hako kadiwani kalitaka kutembelea upepo wa social media kaonewe huruma.... Haya maji yamemwagikia upande wake na hayazoleki
 
Nilipoona ile clip nilijiuliza maswali sana kwani wengine tunmebahatika kumfahamu mh Kawambwa akiwa waziri na Mbunge. Nimeshawahi kukutana naye ni mzee hekima na busara sana.Mtaratibu msikivu na hana mabishano. Huyu dogo alichofanya ni upuuzi wa hali ya juu kwa kitendo cha kumdhalilisha Kiongozi. Kwani kulikuwa na haja gani ya kurekodi swali la kwanza? Pili kuita kama anamuita mwanae eti wewe Kawambwa. Tatu kumtishia sijui pingu kwani ni jambazi au mzee alimtishia nini mpaka kutaka mfunga? Pingu unamfunga mtu mkorofi aliyekaidi sasa mzee mwenyewe ni mpole na hakuwa na mabishano yoyote. Nadhani iwe fundisho kwa vijana wenzetu wasiojielewa na kuheshimu wazee wetu hasa hawa waliotumikia nchi.
tunahitaji kuwa updated, huyu kijana ameshafikishwa mahakamani au bado. usipofunzwa na wazazi ulimwengu una kazi kubwa sana kukufunza.
 
Ni wajinga sana,, mtu alikuwa lecture udism, kawa waziri wizara mbali mbali... Eti Leo umpakazie udalali na kutaka kumdhalilisha... Hako kadiwani kalitaka kutembelea upepo wa social media kaonewe huruma.... Haya maji yamemwagikia upande wake na hayazoleki
Hako kadiwani uchwara sasa dhamana yske imefutwa na kanachezea weekend ya lupango.
 
Diwani mstaafu wa Kiromo anayeitwa Hassan Wembe, ambaye hana historia nzuri sana, amefanya jaribio la kihuni na kuudhi kwa kumzushia tuhuma za uongo aliyekuwa waziri Awamu ya Nne, mh. Shukuru Kawambwa.

Clip iliyorushwa mitandsoni na kusambaa kama moto wa nyika, ilikuwa ikimtuhumu ati Kawambwa ni dalali wa viwanja!

Imejulikana kuwa sababu ya mzozo ni uamuzi wa wanakijiji wa Kitopeni kuamua kufunga barabara yao kutokana na malori ya mchanga kuiharibu kabisa na kufan gari ndogo za wananchi kushindwa kupita.

Katika clip hiyo Diwani Hassan Wembe alidiriki kumvaa mwilini Kawambwa ambaye hakuonekana kubishana wala kurudisha maneno ya kuudhi ya mhuni Hassan Wembe.

Kwa tunaomfahamu Kawambwa toka alipokuwa wizarani (Miundombinu Ujenzi) huyu jamaa ni maji ya mtungi, hana presha au munkari.
Pengine kwa vile alikuwa mwalimu UDSM-Uhandisi.

Habari zilizopatikana ni kwamba katika hilo valangati la Diwani mstaafu Hassan Bwana alikuwepo jirani ya Kawambwa ambaye ni DSO mstaafu (Mkuu wa Usalama wilaya).

Na habari zinatonya kuwa huyu Wembe na grupu lake wamelala lupango.
Mkuu ni kweli tukio lililotokea limetushangaza sana wakazi wa kitopeni Kwa Mashaka huyu diwani ametukosea sana wananchi pamoja na wazee wetu Mimi binafsi nilikuepo kwenye kikao Cha uamuzi wa kufunga barabara ila kilichotokea Diwan aligushi mutsari na Saini za wanakijiji kuhalalisha machimbo ambayo yapo MITA mia tatu kutoka ilipo barabara ya bagamoyo road na kilometer mbili kutoka ilipo stend kuu ya bagamoyo unaweza kuona ni jinsi Gani shukuru kawambwa pamoja na dso walivyokua wazalendo nafikiri Kuna Cha kujifunza kwao
 
Lwa kweli kitendo kile cha Diwani Wembe kimewakera watu wengi.
Wengine wamediriki kusema kuwa huyo Wembe angewaingilia mashamba yao wakiwa wakamilifu kisilaha, wanasema Wembe angekula bullet siku hiyo.
 
Naomba achapwe viboko asbh na jioni kwa siku kadhaa iwe ni ishara ya kumkumbusha utovu wa nidhamu alioufanya kwa wazee. Viboko kumi na mbili asbh viboko kumi na mbili kabla hajalala.
 
Unaweza ukawa na haki, ila namna unavyo address issue unapoteza haki yenyewe. Sheria ichukue mkondo wake tu ili iwe fundisho kwa watu wajinga kama huyo jamaa.

N.B: Huyu jamaa hawakilishi vijana wenye nguvu nchini.
Anawakilisha uvccm aka panyaroad
 
Kwahili tunaandaa mhadhara aalikwe kutoa somo la social ethics, angelianza kujitapa ooh mie utanitambua wangeweza kumdhuru
Angelikuwa ni Ditopile Mwinshehe Ukiwaona wa Mzuzuri angewamaliza kwa risasi wale! Wana bahati kweli kweli maana alikuwa moto mara moja hakuwa subra!
 
Kwa tuliowahi kupitia Ualimu huko vyuoni Kuna course inaitwa educational psychology

Kuna jinsi ya kudeal na MOB psychology so kawambwa alitumia taaluma yake ya ukufunzi 😊 ku deal na Hilo lijamaa lipuuzi
JPM hakusoma hiyo kozi au,hapo ni hulka ya mtu,JK na Jawambwa ni ndugu,huenda wazazi wai wakiwalea vizuri
 
Mbona kawambwa alikuwa mpole vile akifungwa Pingu na mgambo.jamani nikajua amefulia
When you know Who you are and what power you have! You fool them for few hours ili wakiingia kwenye 18 zako . Wanakuja jiona ni Wapumbavu mara elfu🤣🤣. Na wanajua kabisa ndani ya mioyo yao kuwa adhabu unayowapa wanastaili na awatakiwi kulalamika.
 
Huyu kijana anaonekana makuzi yake ya hovyo sana.hana nidhamu kabisa.kunakadada kapuuzi hapo kanamuunga mkono.
Anaonga waliopo madarakani na hivyo visent vyake vya mashimo ya Mchanga so amejaa Kibri. Wenzake wana konections na Nguvu mara 100 ya zake.Ukimya wao wakati ana watusi na kuwabughuzi altakiwa kustuka na kuwa mpole . Yeye alivyoona awamjibu akajua awana cha kumfanya🤣. Now anakuwa fuckd without Vaseline😂
 
Back
Top Bottom