Direct cost vyuoni zinalipwa zote kwa pamoja?

Habari
Naomba mtueleweshe kuhusu direct cost vyuoni. Zinalipwa zote kwa pamoja siku hiyo hiyo tutakapo ripot vyuoni? Maana vyuo vingine direct cost wameandik mil. 2.8 kwengine mil. 3 nk.

Je zinalipwa zote siku hiyo hiyo? Ahsante
Duhhh sasa hapo tuition fee ni sh ngapi?direct cost hulipwa zote kwa mkupuo ila tuition fee ndiio hulipwa mara mbili
 
Kwanza Karibuni sana wasomi wa kesho mliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu.

Ndugu zangu ni, chonde chonde hapa si pahala pa kukashifiana/kubezana/kudharauliana. Kijana anapouliza swala la msingi, kama unajibu au ufahamu wa alichouliza Mpe jibu. Kama huna mjibu kistaarabu, au usiandike chochote au Sema sina ufahamu na hilo.

Lakini kleta majibu ya dharau, si Jambo la kungwana. Kumbuka unapojiunga chuo kikuu ni Jambo kubwa, na ni Mgeni wa nyumba usiyoifahamu kabisa. Na wasiwasi mkubwa ni katika pesa/malipo. Ni vyema tuliwazane, tupoozana na tuelezane utatuzi kwa uzoefu. Asanteni.
 
Hakika mkuu umeongea
 
Direct ni 2.5??????...sisi tulosoma zamani haikuwa hivo na wala sidhani kama pesa hiyo iko sahihi..moja ya direct cost ni registration form ambazo unatakiwa kulipa from your own pocket
 
Kwanza Karibuni sana wasomi wa kesho mliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu.

Ndugu zangu ni, chonde chonde hapa si pahala pa kukashifiana/kubezana/kudharauliana. Kijana anapouliza swala la msingi, kama unajibu au ufahamu wa alichouliza Mpe jibu. Kama huna mjibu kistaarabu, au usiandike chochote au Sema sina ufahamu na hilo.

Lakini kleta majibu ya dharau, si Jambo la kungwana. Kumbuka unapojiunga chuo kikuu ni Jambo kubwa, na ni Mgeni wa nyumba usiyoifahamu kabisa. Na wasiwasi mkubwa ni katika pesa/malipo. Ni vyema tuliwazane, tupoozana na tuelezane utatuzi kwa uzoefu. Asanteni.
Ahsante sana
 
Kwa vyuo vingi kwa case kama hiyo,itatakiwa ulipe nusu ya ada then baada ya Heslb kutoa kama utakuwa umepata mkopo utaomba kurudishiwa mzigo wako.
Ila pia wanakuaga wagumu kurudisha wanakuambia itatumika kulipia deni la mwaka kesho.Ila Jiridhishe kwanza na utaratibu wa hapo
Kuwambia mwanafunzi alipe nusu ya ada then HESLB wakitoa mkopo arudishiwe ni "usanii", maana huyo mwanafunzi hadi anaomba mkopo maana yake hana uwezo wa kulipa, yaani hana kitu. Sasa serikali wakimwambia huyomwanafunzi alipe nusu ataitoa wapi? lakini pia utamwambiaje mwanafunzi alipe nusu ya ada wakati hata hajui huo mkopo atapewa asilimia ngapi?!!!!!!!!
 
OK,nmepata taarifa kwamba chuoni aupokelew mpaka ulipie direct cost.na lazima ilipwe kwa kutumia pesa yako ya mfukon even if mkopo unao.
but nikijicheki APA naona mishe zinazingua hivyo basi itakuwa ngumu kwa Mimi kuilipa hiyo ela kwa awamu moja thus why nimeuliza ili niweze kujua kama inawezekan kulipa hyo direct cost nusu nusu
 
Sasa ndugu kama chuo wameshakuambia haifai si ndio jibu hilo
 
Back
Top Bottom