Lazaroj
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,452
- 1,043
Duhhh sasa hapo tuition fee ni sh ngapi?direct cost hulipwa zote kwa mkupuo ila tuition fee ndiio hulipwa mara mbiliHabari
Naomba mtueleweshe kuhusu direct cost vyuoni. Zinalipwa zote kwa pamoja siku hiyo hiyo tutakapo ripot vyuoni? Maana vyuo vingine direct cost wameandik mil. 2.8 kwengine mil. 3 nk.
Je zinalipwa zote siku hiyo hiyo? Ahsante