sawe4u
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 973
- 572
Majambazi wamekodi Gari maeneo ya ubungo liwapeleke morogoro,njiani waanza kumchoma visu ili waibe gari,bahati kwa nyuma likatokea Gari kutoa msaada majambazi wakakimbia ila dereva amefarik
(Pcha zmetolewa)
(Pcha zmetolewa)