Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,292
- 31,449
Kwanini wasiweke dustbins?Naomba muweke tangazo hairuhusiwi Kula au kunywa ndani ya vituo vya mabasi ya mwendokasi na ndani ya mabasi na walinzi wenu wasiruhusu mtu anaekunywa au Kula kuingia...hii itawasaidia usafi na kutupunguzia kero abiria ...hasa wanafunzi wa shule wanapanda mabasi huku wanakula maembe na ice cream na kutupakaza ...na kuchafua mabasi ...hili wala hakihitaji hela ..ni mabango na walinzi kusimamia