Dar es salaam: Uzuri uliojificha

Yani,ni unaishia kubeza tu,,,unashindwa jibu hoja....
Thibitisha kauli yako kwanza juu ya Mikocheni acha michambo....
Kata za Wilaya za Ubungo,Temeke na Kigamboni zote ni salama kabisa ...(kata zaidi ya 20)

Kata 15 za Wilaya ya Ilala Juu (Kuanzia Minazi Mirefu kwenda Zingiziwa na Majohe) zote ni Salama
Ilala kata sumbufu ni Jangwani Peke yake

Kata za Kinondoni zote hazina shida ,,Kasoro kata ya Kigogo,Kunduchi na Boko tu....
Tandale,Msasani na Mwananyamala ilishijengwa miundombinu sikuhizi hawana shida kabisa

Sasa hapo nimekutajia kata zaidi ya 60....
Aya njoo wewe, au unajua kutusi tu.😂😂😂
 
KISIWA CHA PANGAVINI : VIII
Kata :Kunduchi
Wilaya : Kinondoni
Historia : Ni mojawapo kati ya visiwa vinne vilivyopo Kaskazini mwa Pwani ya Dar es salaam
Pangavini Luna
  • makazi makubwa ya ndege ambao huonekana na katika Fukwe za Wilaya ya Kinondoni
  • Pumziko la ndege warukao kwenye miji tofauti duniani
  • Matumbawe yenye viumbe bahari na mazalia yao.
Utafaidi :
  • Kuogelea ,
  • Uzamiaji wa kina kirefu
  • Picnic
  • Kubalizi upepo wa bahari
Tanzania,_Dar_es_Salaam_Marine_Reserve,_Pangavini_Island.jpeg

Pangavini_286_300shar-5.jpg

images (58).jpeg

images (59).jpeg

Unafikaje : Kutokea Makumbusho,panda gari hadi Mbezi Beach kwenye Hotel za whitesands,Jangwani,kuna huduma za boti.
Gharama :
  • Nauli : 20,000
Usalama : 95%
 

Attachments

  • images (58).jpeg
    images (58).jpeg
    31.4 KB · Views: 2

Similar Discussions

Back
Top Bottom