Daktari: Tanzania inaongoza kwa unywaji pombe Afrika. Kwa mwaka kila Mtanzania anakunywa ndoo ndogo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
44,937
51,752
Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.

View: https://www.instagram.com/p/CxNdPKxqGtq/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take:
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani, duu.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1697592548825436655?t=GX9Td4cB57EdXXp4_D4F3A&s=19
 
Lita 10 ya kidoo kidogo × idadi ya watanzania (sijui milioni ngapi kwa sasa) = lita zinazonyweka kwa mwaka.

Lakini hapo wanywa gongo, mnazi,chimpumu, mataputapu, chang'aa, wanzuki etc.. hawajawekewa kwenye mahesabu.
 
Unajua unapokuja na Data za Kitaalamu alafu hizo Data zinakuwa zina utata au hazina uhakika unapelekea habari yako nzima kuonekana ni ya uongo Huyo Dr. Hizo data amezitoa wapi sababu kuna hizi data za huyu Mdau allegedly zimetoka WHO zinasema vinginevyo:-

Au huyu na Data zake ndio za uongo....
 
Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.

---

My Take
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani,duu.
Hiyo ndoo ndogo kuna watu wanamaliza kwa siku let alone mwaka.
 
Back
Top Bottom