Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

We jamaa, huna tofauti na wachungqji, waliojaa kila Kona hapa, bongo, wote wanatsfuta namna yq kupata maokoto!
Kwa ufupi, ndugu zangu wasomaji, msiamini sana maneno ya mitandsoni kama haya, hapa, umeweka story zako, za, kusaka kazi, inawezekana ni maneno kama ya kwenye kanga tu,hatuwezi kudhibitisha, ni kama Geodave anaposema alifanya kikao na Mungu!
We huna msaada wowote, unataka vijana waingie kingi tu,
Mchango wangu:kazi, za, makampuni ya simu, Voda, tigo, Airtel, za, kwenye mineral, hufanywa na hizi kampuni, APM, pivotech,Csmusat, NETIS,NEWL(Sakina Arusha). sincro(Dar kwa, mwalimu).
Haya makampuni uajiri hata freshers kutoka vyyoni,baadhi hutangaza nafasi, kwenye kurasa zao, wengine kimya kimya, ibuka Getini pereka CV,
Kampuni nyingine Worldmobile wapo michenzani mall Zenj, floor number 6.hawa, wanafunga internet kwenye mashule,
Mkuu Samahani sijakuelewa,Hizo kampuni hapo sakina ndio zinatoa ajira nchi za kiarabu?naomba ufafanuzi
 
We upo uarabuni?
Kwa sasa nipo uarabuni huko Dubai
IMG_20240514_145215_612.jpg
hapo nikiwa kwenye treni ya mwendo Kasi a.k.a metro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom