Natafuta Michongo nje ya nchi

Canabian Rasta

JF-Expert Member
Aug 18, 2022
776
1,722
Habari WanajamiiForums,

Ninahitaji wadau waliopo Dubai au China naomba kujua ajira zinazopatikana huko, deals au biashara za kufanya ukiwa uko ili kutengeneza kipato ukiwa huko huko.

Pia wadau mlio Paris, Berlin, Amsterdam, London, Madrid, Instabul n.k pia ninaomba maoni yenu kuhusu kazi.

Nina watu walio na pesa zao za nauli, passport, na pesa za kurent vyumba kwa miez kadhaa ila tu cha msingi kuwepo na kazi.

Kuna wenye documents na wasio na documents za professionalism maana wapo walio na ajira hapa Tz na tupo tulio jiajiri ila wote nia yetu ni kufanya kazi nje ya bara la africa.
 
Back
Top Bottom