Manda
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 2,073
- 304
Hapo ruko sawa....some years back nilikua nakaribia kutoa machozi Wekundu wa Msimbazi wakifungwa! Unakumbuka ile fainali na Stella Abidjan? Nilikua sekondari na karedio kadogo.
Nilishawai kukuuliza s'time back.., how did you across come falling in Love with SIMBA?, i cant imagine!!, ilo litimu waachie ao kina Invinsible, Ab na wenzake, preshaaa tupu!
Mimi U-Mod siutaki, 'coz inabidi every 'sato' niwe naenda kwenye 'kitubio' kanisani, as for me, the likes of Ab-T na kundi lake they will be my first victims wa operation fungia fungia....heee bila kuwasahau Ze Gunnaz..they talk alot!
Unless otherwise, poleni jamani, how can u dare to go there without prio consultation with us?, the stadium ambayo tulishawai peleke 2nd team, still wakaloweshwa?...au ndio nadharia ya kila 'shetani' mbuyu wake'? Poleni wakuu,'
Roya hope zile kadi za Mwaliko wa 'Karamu' ya kuwatafuna Z Gunnless jmoci umesambaza hadi Stamford Brigde, plz dont miss the Party, lunch time Kickoff jmoci pale pale ukumbini Emirates!
NB;Pia apart from that, tutakutana kwa ajili ya kupongezana sisi ma-Democrats......!1