You have hit the nail dude!

Mimi nishaanza waogopa hawa!, nafikiri approach yetu kwa hawa jamaa iwe more 'diplomatic',esp. wakichapwa..! tumeshazoea kuwasiliba vibaya Ze Gunnaz ila hawa ukigusa tu, lazima uingie choo cha kike-the next day unaweza kuta hataku-log inn humu ndani ikawa utata!

All n All thanx for taking the initative, kumbe mlikuwa wengi washabiki bwana mmejificjha?, mkawa mnadandia dandia tuu threads za timu sio zenu?

Nawasubiri Liverpool nao wa-take initiative kam yenu, nafikiri itapendeza zaidi kuwa na BIG FOUR ndani ya Jukwaa letu la 'kupunguza Stress'..!

Jamani mnavijisababu vyenu lakini anyway tutaona kadri msimu unavyoendelea.

Nyie mashabaki wa Man U pia mnazenu....sasa mumeambiwa na nani tutawazuia kuchangia?Tuko wengi lakini mlikua mumetu-overshadow na
thread zenu naswi ikabidi tuchunetu.Sasa tumeanza thread yetu mnasema
eti tuko wengi...mlikua hamjui?...acheni longolongo yenu (Manda na Roya Roy)
...hebu wish us the best na hao Roma basi...kwa roho safi.
 
acheni longolongo yenu (Manda na Roya Roy)
...hebu wish us the best na hao Roma basi...kwa roho safi.

Mi nawatakia ushindi hata kabla ya kuomba Mkuu Ab, but kwa tahadhari tu...msitufungie kila mnapofungwa! :)
Pia msiingie mitini when things go down, si mnaona jinsi kule kwa Ganaz kulivyopooza?

BTW inabidi Invisible (na admin wengine) mnipe umod ile kubalansi mambo..LOL.
All the best kwa gemu ya leo (hopefully mtatutakia mema na sie kesho).
 
Frankly speaking Chelsea ikifungwa huwa nakosa raha kabisa. Simba inaweza kufungwa nikaendelea kuchekelea tu... Ila Chelsea basi tu!

Najaribu kufikiria wewe Roy ulivyo na 'ushetani' wako tena mwekundu ukabidhiwe rungu kama Mod na 'shetani' wenu abamizwe na wakamata mitutu... Sipati picha utakavyowa-ban kina Game Theory!
 
Dawa yenu chelsea ni Totenham pamoja na reading ndio kiboko yenu,kwenye hizo timu huwa hamongei kitu kabisa ila mnajifanya mmesahau au sio??
 
Simba inaweza kufungwa nikaendelea kuchekelea tu...

Hapo ruko sawa....some years back nilikua nakaribia kutoa machozi Wekundu wa Msimbazi wakifungwa! Unakumbuka ile fainali na Stella Abidjan? Nilikua sekondari na karedio kadogo.

Najaribu kufikiria wewe Roy ulivyo na 'ushetani' wako tena mwekundu ukabidhiwe rungu kama Mod na 'shetani' wenu abamizwe na wakamata mitutu... Sipati picha utakavyowa-ban kina Game Theory!

Haina maneno we nipe umod....naahidi sitam-ban mtu yeyote Man ikifungwa na ganaz (japo haiwezekani ganaz kuwafunga Man), ofkoz mtu akileta za kuleta namsitishia access kwa wiki moja tu, no more!
 
Kesho tutaangalia hapa kama mtakuwepo, si mnacheza na Roma (mambo ya kwenye Seria A sio mazuri? Once upon a time they were nailed 7 by Man U.

Dah sasa roya ndugu yangu unaongea masuala ya once upon a time unadhani kesho tutakuwa tunacheza tukikumbuka hiyo historia ya Man U? Well nakuomba tu ukumbuke kuwa wa kwanza kutupongeza hapa maana ndio michezo ilivyo...usije nuna tu kama mke mwenye gubu...
 
Really?
Haya kesho nitapita hapa...
Its all good if u win.
 
Hapo ruko sawa....some years back nilikua nakaribia kutoa machozi Wekundu wa Msimbazi wakifungwa! Unakumbuka ile fainali na Stella Abidjan? Nilikua sekondari na karedio kadogo.

Haina maneno we nipe umod....naahidi sitam-ban mtu yeyote Man ikifungwa na ganaz (japo haiwezekani ganaz kuwafunga Man), ofkoz mtu akileta za kuleta namsitishia access kwa wiki moja tu, no more!

Nd'o hii nilikua nasema hapo awali...wewe tutishe tu lakini hamna kitu.
Tunakula sahani moja hata kama hutaki...:)

BTW Invii consider Roya Roy's application maana najua atatembea humu ndani
na 'big stick' yake akiambatanishwa na Manda na Icadon(ile video yake ya
mwaka jana tukienda Urusi niliimaindi we acha tu...afu mkatufunga...damn!!!!)

P.S. What makes u think that Ganaz hawawawezi Man U?...Jamani uzalendo
mnao na hebu punguzeni....iiissssshhhhhh!
 
sanda-matuta, Ab-Titchaz, Invisible, nk! mnatosha kuipa uhai thread ya Bluz.
Sababu mna mods wawili, msijipendelee mkatuzuia ambao sio bluz kuchangia humu(mostly mkiboronga):)!
Karibuni

Nimekusoma mkuu,

Nadhani sasa tutaonyesha our true colour (blue) .thanks to the Mods kwa marekebisho.
 
Duniani, hakuna kitu kigumu kama kuamini jambo ambalo umethibitisha na hukutegemea liwe hivyo... na kujikwaa haimaanishi kama ni mwisho wa safari.

The Blues for Life...

Sema usingizi ndo ushapaa sijui ntaupataje... Alamsiki!
 
poleniiiii ehhh tatu???dah ka vile mlikua mmesimama!!!mbele walikazana...nyuma mkaachia hadi mkapigwa bao tatu.yalaaaah!!!!
 
poleniiiii ehhh tatu???dah ka vile mlikua mmesimama!!!mbele walikazana...nyuma mkaachia hadi mkapigwa bao tatu.yalaaaah!!!!

Usiku kucha unajua sijalala, nikiwa nafuatilia Historia inaandikwa. Sasa come to think of it nimeanza kuhisi kama Chelsea imetolewa kafara ili historia iandikike duniani kwa ukamilifu.

Natumaini kupingwa katika hili lakini ni jambo ambalo linahitaji fikra zenye busara na si ushabiki wa pupa kulipambanua...

Dah tatu sio mchezo yaani kuna tamu na Chungu!
 
Mngeenda kwa FERGIE awape mbinu za kuwatungua hao vibonde wetu
 
Poleni sana vijana wa darajani naona mmefungua thread kwa kipigo

Tuna Modz wawili ambao ni The Blues sasa nimeangalia na kuona kwamba thread hii ina 'bugs' kibao. Hatuwezi ifunga kwa muda ili muiweke sawa. Najua kutokana na kazi nyingi baada ya siku tano saba hivi itawa imetengemaa.

Invisible do something husiana na hili. Inasababisha traffic iwe kubwa kwa kweli!!!
 
P.S. What makes u think that Ganaz hawawawezi Man U?...Jamani uzalendo mnao na hebu punguzeni....iiissssshhhhhh!
YES WE CAN (It should have been blue?) Kama unamaanisha next EPL game kwetu.

BTW Invii consider Roya Roy's application maana najua atatembea humu ndani na 'big stick' yake akiambatanishwa na Manda na Icadon(ile video yake ya mwaka jana tukienda Urusi niliimaindi we acha tu...afu mkatufunga...damn!!!!)
Thanx kwa kunisaidia kudai umod....BTW kama mkiona inafaa mpeni umod Manda ama Icadon ama ..nasisitiza ila kubalansi mambo:D!

Usiku kucha unajua sijalala, nikiwa nafuatilia Historia inaandikwa. Sasa come to think of it nimeanza kuhisi kama Chelsea imetolewa kafara ili historia iandikike duniani kwa ukamilifu.
Natumaini kupingwa katika hili lakini ni jambo ambalo linahitaji fikra zenye busara na si ushabiki wa pupa kulipambanua...
Dah tatu sio mchezo yaani kuna tamu na Chungu!
Kule kwa jaluo tuko pamoja mkuu...ile kitu ni ya kipekee.
Tuna Modz wawili ambao ni The Blues sasa nimeangalia na kuona kwamba thread hii ina 'bugs' kibao. Hatuwezi ifunga kwa muda ili muiweke sawa. Najua kutokana na kazi nyingi baada ya siku tano saba hivi itawa imetengemaa.
Invisible do something husiana na hili. Inasababisha traffic iwe kubwa kwa kweli!!!
Ndo maana nikadai na sie Man tupewa umod ili kubalansi mambo...ili tutoe mawazo yetu kwa uhuru kamili!
Mwisho POLENI:( !
 
Hapo ruko sawa....some years back nilikua nakaribia kutoa machozi Wekundu wa Msimbazi wakifungwa! Unakumbuka ile fainali na Stella Abidjan? Nilikua sekondari na karedio kadogo.
Nikikumbuka ya Stella Abijan basi huwa nakosa raha mkuu. Usikumbushe tu...

Mwisho POLENI:( !
Tushapoa mkuu... Lakini hukuona kama timu tuliyocheza nayo ni tofauti na mliyoifunga (kwa kubahatisha)? Halafu tulicheza vizuri zaidi yao sema bahati haikuwa yetu. Uliangalia ball possession? Tulikuwa na 60% wao na 40%!
 
Back
Top Bottom