CCM fanyieni kazi kero hizi mbili za Muungano

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,467
9,773
Chonde chonde CCM
Msishupaze shingo.

Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.

Kero hizi mbili.
1. Ardhi. Kwanini wa Zanzibar wakijua huku wananunua ardhi na wanapewa hati?. Kwanini watanganyika hawawezi kufanya hivyo?

2. Kwa Nini mzazibari anatawala bara na anasimamia mambo yasiyo ya Muungano? Mfano; DC na maafisa Ugani na maafisa afya? Ipo siku wataanza kuzomewa.

Embu jifungieni sehemu; tengenezeni mambo yakae sawa.
 
2. Kwa Nini mzazibari anatawala bara na anasimamia mambo yasiyo ya Muungano? Mfano; DC na maafisa Ugani na maafisa afya? Ipo siku wtaanza kuzomewa.

Subiri wanakuja
 
AJINGA WA CHUO KIKUU
 
Chonde chonde CCM
Msishupaze shingo.

Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.

Kero hizi mbili.
1. Ardhi. Kwanini wa Zanzibar wakijua huku wananunua ardhi na wanapewa hati?. Kwanini watanganyika hawawezi kufanya hivyo?

2. Kwa Nini mzazibari anatawala bara na anasimamia mambo yasiyo ya Muungano? Mfano; DC na maafisa Ugani na maafisa afya? Ipo siku wataanza kuzomewa.

Embu jifungieni sehemu; tengenezeni mambo yakae sawa.
Shida ya CCM haibadiliki imekaa kama jiwe
 
acha upotoshaji,

eti watanganyika? wana umri gani kwa mfano huyo alie maliza form four 🐒

ni ngumu mno waTanganyika kuwaelekeza chochote waTanzania kuhusu Muungano 🐒

kwamba asiejua chochote kuhusu Tanganyika ati ana uchungu sana kuhusu hiyo Tanganyika asieijua bali ameifahamu kwa uchache sana kwenye historia ya vitabuni?🐒

kwamba g.ulimwengu na warioba wachange mindset za vijana wazaliwa wa Tanzania wadai Tanganyika wasiyo ijua kweli, dah 🐒

watakua wamechagua kazi ngumu mno na wala haiwezekani hata nukta moja 🐒
 
Wewe ulitaka ardhi Zanzibar? Uifanyie nini, hauwezi kulima, kipi hasa ulikosa katika ardhi ya bara, kilichopo huko sio kwa ukubwa, ubora, na thamani.

Hiyo ardhi ukichukua matajiri 10 tu kutoka bara wanaimaliza, bado wewe hutoambulia kitu.

Wewe ulitaka upewe uongozi wa kisiasa huko Zanzibar, yani hizo hoja unatoa ni kipi ulitaka ukakikosa.

Unapokuwa na lalamiko kuna kitu kimekosekana au kimeshindikana, ni nini hiko au unasikiliza wanasiasa?

Kama ni wanasiasa ninyi CHADEMA tangazeni sera yenu kuwa mkipata madaraka mtaruhusu hayo mnayosema, wananchi wanaowaunga mkono watawasapoti.
 
Sasa Unguja au Pemba kuna Ardhi ya kugawana?
Ipo ya kumwaga, ni akili tu ndio zinazotakiwa kuchakatwa. Kama ardhi haipo, hao wa huko wanaishije? Investements za mahotelini zinafanyikaje bila ujenzi na hao wajenzi wanajenga wapi?

Zanzibar ni kisiwa kama Maldives na huko maldives huwezi sikiwa wanasema haya mambo ya kutokuwa na ardhi ya kutosha. Wao kila siku ni kupigania land reclamation na kununua udongo kutoka sehemu mbalimbali duniani. Hata Zanzibar wanaweza na hii kauli kwamba haina ardhi ya kutosha imekuwa ni utopolo wa kutokea hapo.
 
Kama ni Muungano na sisi ni wamoja, sioni shida tukinunua Ardhi, na wao wanaponunua huku wahamie tu.

Ila kwa sasabu ya viongozi wachache wanafanya maamuzi ya ajabu.
 
Wewe ulitaka ardhi Zanzibar? Uifanyie nini, hauwezi kulima, kipi hasa ulikosa katika ardhi ya bara, kilichopo huko sio kwa ukubwa, ubora, na thamani.

Hiyo ardhi ukichukua matajiro 10 tu wanaimaliza, bado wewe hutoambulia kitu.

Wewe ulitaka upewe uongozi wa kisiasa huko Zanzibar, yani hizo hoja unatoa ni kipi ulitaka ukakikosa.

Unapokuwa na lalamiko kuna kitu kimekosekana au kimeshindikana, ni nini hiko au unasikiliza wanasiasa?

Kama ni wanasiasa ninyi CHADEMA tangazeni sera yenu kuwa mkipata madaraka mtaruhusu hayo mnayosema, wananchi wanaowaunga mkono watawasapoti.
Umepaniki sana.

Kinachotakiwa ni Usawa. Kama Muungano unamambo ya Muungano yabaki ya Muungano, yasio ya Muungano yabaki kuwa sio ya Muungano. Ibaki hivi.
 
Kama ni Muungano na sisi ni wamoja, sioni shida tukinunua Ardhi, na wao wanaponunua huku wahamie tu.

Ila kwa sasabu ya viongozi wachache wanafanya maamuzi ya ajabu.
Bandiko Kuntu sana hili. Kweli, tumeunganika, ardi tununue potepote bila ajizi.
 
Back
Top Bottom