Busara, hekima na sheria

VanDon

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
378
653
Habari za muda huu waunhwana.

Leo nimependa tuongee kidogo kuhusu busara na sheria

Katika kila taasisi kuna uongozi na uongozi huo ni kuongoza watu wenye akili, mtazamo, uelewa na pengine malengo na imani tofauti ambavyo huenda vyote hivyo haviendani na taasisi au malengo ya taasisi.

Je, nini kinatakiwa kiangaliwe sana kati ya sheria na busara ili kuimarisha uongozi bora katika taasisi husika?

Na je, ni nini hasa chimbuko la sheria!?
 
Back
Top Bottom