Budget Gaming PC build

Mkuu huna contact za jamaa kama wana PSU za HP 800 series ambazo ni 300-400W with 6 pin connector?
Pia ingia Facebook marketplace.

Kuna jamaa naona anazo search psu pale juj...
Screenshot_20240424-200611.jpg
 
Hazikawii kuua mobo hizo,

kwa aliexpress/ebay zipo hizi psu, sema bei imechangamka na usafiri ni kama 150K hivi.

Ndio maana nikaulizia Machinga kama unaweza pata,
Poa embu jaribu kumpigia au utembelee pale machinga waweza bahatisha.
 
Ila najipanga nije ni build from scratch tu.
Na plani niende na Ryzen 5 5600G kama sijakosea na rx 5500 XT.
Ila plani nyingine ni kutafuta i5 10th gen then ni niweke GPU. hapo ndi sjajua nishike njia ipi inaweza kuwa njema in terms of price to performance ratio
 
Option nyengine ya maana ni kutumia i3 gen ya 12, hii ndio equivalent ya 5600G perfomance wise na ulaji umeme, uhakika chini ya watts 60 upande wa cpu.

Kwa China hii unaweza ipata Chini ya laki 5 ikiwa haina Gpu, sema components za kichina mobo kama Maxsun, sababu ni lowend cpu haina neno sana.

Screenshot_20240425-141159_Pixel Launcher.png

Hii yuan 1500

Screenshot_20240425-141139_Pixel Launcher.png

Hii yuan 1300

Roughly kama 470,000 kwa 540,000, bado usafiri, kodi na mambo mengine ongeza kama 150,000 hivi.
 
Option nyengine ya maana ni kutumia i3 gen ya 12, hii ndio equivalent ya 5600G perfomance wise na ulaji umeme, uhakika chini ya watts 60 upande wa cpu.

Kwa China hii unaweza ipata Chini ya laki 5 ikiwa haina Gpu, sema components za kichina mobo kama Maxsun, sababu ni lowend cpu haina neno sana.

View attachment 2973543
Hii yuan 1500

View attachment 2973545

Asante mkuu nta consider Hili.
 
IMG_20240426_132313_034.jpg
 
Hizi rx 580 naanza kuhisi zina shida. Nina kama siku tatu sikuwasha pc. Sasa jana ndio nikataka kucheza game la dying light 2. Mwanzo likawa kama haliko smooth.. wakati awali lilikuwa fresh tu.

Nikajaribu fc24 yaani kufunguka tu ikawaa shida hata lilipo funguka kujaribu kucheza ndio likaleta hiyo error. Nikapunguza quality kwa kuweka low likakubali.
Nikacheza world war Z. Game ukicheza kidogo linajitoa.

Shida yaweza kuwa nini mkuu na driver ziko uptodate.
 
Kwenye forums nyingi naona wengi wamezi undervolt, jaribu uone.
 
Toka uinunue mkuu umewahi kuweka software kama Gpu Z uikague kwanza kama specs ni sahihi?

Pia jaribu kuweka custom drivers, Rx 580 ilishakua discontinued, inawezekana ikawa ni drivers problem tu na custom one ika fix.

Hapo naona kama ni memory issue, kwa Gpu yenye 8GB Vram haimake sense.
Gpuz niliweka toka nilivyoinunua inàsoma maelezo yote fresh.

Hiyo error na mimi ndio nimeshangaa kwa 8gb kwa kweli haiingii akilini.

.driver nilidownload official site ya amd.

Na ni ya tar 20 February hawajatoa update nyingine.
 
Kama Gpu Z ilisoma vizuri kuna possibility kubwa ni driver issue.

Naona online wanarecomend driver ya zamani 22.8.1 kama ya sasa ina crash.

Sema naona kama site ya amd ipo Chini kwangu, link hii

Similar Discussions

Back
Top Bottom