Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,946
- 38,648
Mpigie umuulize maana ana mazaga zaga mengi tu.Mkuu huna contact za jamaa kama wana PSU za HP 800 series ambazo ni 300-400W with 6 pin connector?
Mpigie umuulize maana ana mazaga zaga mengi tu.Mkuu huna contact za jamaa kama wana PSU za HP 800 series ambazo ni 300-400W with 6 pin connector?
Pia ingia Facebook marketplace.Mkuu huna contact za jamaa kama wana PSU za HP 800 series ambazo ni 300-400W with 6 pin connector?
Hizi ni standard psu, HP wanatumia proprietary, ni lazima iwe brand yao yenye same connector.Pia ingia Facebook marketplace.
Kuna jamaa naona anazo search psu pale juj...View attachment 2973032
Kutumi adapter zile za AliExpress vipi?Hizi ni standard psu, HP wanatumia proprietary, ni lazima iwe brand yao yenye same connector.
Hazikawii kuua mobo hizo,Kutumi adapter zile za AliExpress vipi?
Poa embu jaribu kumpigia au utembelee pale machinga waweza bahatisha.Hazikawii kuua mobo hizo,
kwa aliexpress/ebay zipo hizi psu, sema bei imechangamka na usafiri ni kama 150K hivi.
Ndio maana nikaulizia Machinga kama unaweza pata,
Sijaona no badoPoa embu jaribu kumpigia au utembelee pale machinga waweza bahatisha.
Mkuu sina FB, af niliachana na hiyo process kwa sasa, make nilipata ki desktop cha kuzugia i5 3rd gen na ki rx 550 so far napambana nacho mdogo mdogo.
Mashine nzuri sana hii Kenya, ambacho sijajua ni kama inakubali 400W PSU za HP. kama inakubali its possible around 600K kupata machine ya Maana
Option nyengine ya maana ni kutumia i3 gen ya 12, hii ndio equivalent ya 5600G perfomance wise na ulaji umeme, uhakika chini ya watts 60 upande wa cpu.Ila najipanga nije ni build from scratch tu.
Na plani niende na Ryzen 5 5600G kama sijakosea na rx 5500 XT.
Ila plani nyingine ni kutafuta i5 10th gen then ni niweke GPU. hapo ndi sjajua nishike njia ipi inaweza kuwa njema in terms of price to performance ratio
0676597778Sijaona no bado
Asante mkuu nta consider Hili.Option nyengine ya maana ni kutumia i3 gen ya 12, hii ndio equivalent ya 5600G perfomance wise na ulaji umeme, uhakika chini ya watts 60 upande wa cpu.
Kwa China hii unaweza ipata Chini ya laki 5 ikiwa haina Gpu, sema components za kichina mobo kama Maxsun, sababu ni lowend cpu haina neno sana.
View attachment 2973543
Hii yuan 1500
View attachment 2973545
Hii yuan 1300
Roughly kama 470,000 kwa 540,000, bado usafiri, kodi na mambo mengine ongeza kama 150,000 hivi.
Option nyengine ya maana ni kutumia i3 gen ya 12, hii ndio equivalent ya 5600G perfomance wise na ulaji umeme, uhakika chini ya watts 60 upande wa cpu.
Kwa China hii unaweza ipata Chini ya laki 5 ikiwa haina Gpu, sema components za kichina mobo kama Maxsun, sababu ni lowend cpu haina neno sana.
View attachment 2973543
Hii yuan 1500
View attachment 2973545
Hii yuan 1300
Roughly kama 470,000 kwa 540,000, bado usafiri, kodi na mambo mengine ongeza kama 150,000 hivi.
Kwenye forums nyingi naona wengi wamezi undervolt, jaribu uone.Hizi rx 580 naanza kuhisi zina shida. Nina kama siku tatu sikuwasha pc. Sasa jana ndio nikataka kucheza game la dying light 2. Mwanzo likawa kama haliko smooth.. wakati awali lilikuwa fresh tu.
Nikajaribu fc24 yaani kufunguka tu ikawaa shida hata lilipo funguka kujaribu kucheza ndio likaleta hiyo error. Nikapunguza quality kwa kuweka low likakubali.
Nikacheza world war Z. Game ukicheza kidogo linajitoa.
Shida yaweza kuwa nini mkuu na driver ziko uptodate.
Yaah nimeigoogle naona wengi wanaonyesha ina shida .. nafikiri ndio maana bei zake zilishuka mno.Kwenye forums nyingi naona wengi wamezi undervolt, jaribu uone.
Toka uinunue mkuu umewahi kuweka software kama Gpu Z uikague kwanza kama specs ni sahihi?
Gpuz niliweka toka nilivyoinunua inàsoma maelezo yote fresh.Toka uinunue mkuu umewahi kuweka software kama Gpu Z uikague kwanza kama specs ni sahihi?
Pia jaribu kuweka custom drivers, Rx 580 ilishakua discontinued, inawezekana ikawa ni drivers problem tu na custom one ika fix.
Hapo naona kama ni memory issue, kwa Gpu yenye 8GB Vram haimake sense.
Kama Gpu Z ilisoma vizuri kuna possibility kubwa ni driver issue.Gpuz niliweka toka nilivyoinunua inàsoma maelezo yote fresh.
Hiyo error na mimi ndio nimeshangaa kwa 8gb kwa kweli haiingii akilini.
.driver nilidownload official site ya amd.
Na ni ya tar 20 February hawajatoa update nyingine.
Chief kuhusu laptop za asus vivobook 15 Kwa gamingKama Gpu Z ilisoma vizuri kuna possibility kubwa ni driver issue.
Naona online wanarecomend driver ya zamani 22.8.1 kama ya sasa ina crash.
Sema naona kama site ya amd ipo Chini kwangu, link hii