Benchika kwenda kumuuguza mkewe, swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake?

Heee mbona mmekazana sana na hili swali.??hao ni wasaidizi wake..wamejiriwa kupitia yeye popote atakapokwenda anaenda nao...mbona mnajitoa ufahamu?
Mimi mwenyewe nashangaa. Yule msaidizi wake amefanya naye kazi miaka kibao, kila anapokwenda anakwenda naye. Na Benchikha anapoenda kuuguza (kama ni kweli au si kweli) siyo kwamba anaacha kufundisha, uwezekano mkubwa ni kuwa atatafuta timu ya karibu na kwao kwa hiyo hao wasaidizi wake wataendelea naye.
 
Yani unajua akili za watu humu mpk nashangaa..akili ndogo tuu za kureason..watu wamekuja na kocha mkuu kama wasaidizi wake how come wabaki?
Yani akianza mmoja kuharisha kwenye comment kila mtu anaambukizwa kuhara...comment zitakazofata hapo ni hizo hizo
 
heyyyy
sawa wanasimba tumekubali benchika kwenda kumuuguza mkewe,
swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake??
tunachanganyikiwa shagala bagala
Hakuna cha mkewe wala nini ...maana kama ingekua mke anaumwa wale wasaidizi si wangebaki tuu..au na wao wake zao wanaumwa??? Si wamsubiri aje.....Tukubali timu ina Kocha ambae mpk sasa ata kama yuko safarini yuko na stress mno
 
Duh lini tena ulipigwa ban? Hadi wewe? :D:D
Ee bana ni last week alhamis au j5 kama sikosei hivi...kule selfika hali ha hewa ilichafuka sanaa..sasa baada ya kutetea ile kesi na kutoa tusi kwa hao malume ndago ndo nikala ban... 🤣 🤣 my first Ban...
 
Pole sana. Kweli hali ilichafuka hadi wewe upigwe ban :D:D:D
 
Back
Top Bottom