Bei ya luku ishuke, viwanda vifufuliwe, wananchi wapikie majiko ya umeme kuzuia uharibifu wa mazingira

Tunajibanabana kununua luku wapunguze bei za unit tutumie umeme 24/7
Hivi sasa, 5000 unapata unit 14pekee,maana hapo unit Moja ni sh 357

Nimependekeza,

Unit moja ishuke Hadi sh 10 Kwa unit, Ili Ukiwa na sh 5000, upate unit 500.

Unit 500utazimaliza lini hata ukitimia jiko la umeme?
 
Umeme sasa umekuwa kama ni kitu ambacho ni anasa.Wazo. lako ni zuri ila tatizo ni hawa viongozi wetu watakubaliana nalo?.Hata Internet yenyewe ni gharama
Hawa waliopo wengi wametokana na wizi wa kura.

Hilo litawezekana pekee ikiwa Sanduku la kura litaheshimiwa.

Maandamano kudai tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote yaendelee🙏
 
Yaan kwetu kutumia vitu au kunufaika na vya kwetu ni kama laana,ukitulliza akili kama watu wameamua kutukomoa vile

Anzia
1;MBs
2;Gas
3;Luku

Unaona kabisa viongozi wanaamini hivi vikiwa cheap watu watafaidi
Wana nufaika na Umaskini wa Watanzania.

Unajua Si Rahisi kumtawala mtu mwenye pesa, ila kumtawala maskini ni Rahisi.
 
Back
Top Bottom