Technophilic Sentinel
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,352
- 3,585
Nimekua nikipata tabu sana kujua maana ya maneno mengi ya kiswahili na nikisearch google siyapati napata mitandao ya nje kama wikipedia wakitafsiri ambayo mara nyingi siwaamini kulingana na aina na ufasaha wanaoandika.
Kwanini Baraza la kiswahili mnashindwa kuweka KAMUSI YA KISWAHILI ONLINE tena yenye visibility kubwa kwene google?
Mfano leo nilikua namjibu mtanzania wa kibaigwa uhusiano wa ujanja na akili sasa gooogle nzima huwezi ona hata Kamusi ya kiswahili ikileta maana ya hayo maneno ila utaona website za nje ndo zinahangaika kudadavua na mara nyingine zinashindwa kuleta ufasa.