Rose kwenye Moyo Wangu alitulia, ni wimbo ambao upo underrated Ila kwangu hautoki kwenye playlistBahati Bukuku - Nimekukimbilia
Rose Muhando - Moyo Wangu
Ngoma zangu kali za muda wote.
Moyo wangu siyo wimbo wake binafsiBahati Bukuku - Nimekukimbilia
Rose Muhando - Moyo Wangu
Ngoma zangu kali za muda wote.
Umemaliza...Umechagua nyimbo mbili za Rose Muhando kulinganisha na nyimbo kali za Bahati Bukuku.
Ijapokuwa si sahihi sana kulinganisha watumishi wa Mungu katika uimbaji kwa sababu wote wanamtumikia Mungu na nyimbo zao zinamtukuza, ila honestly Rose is miles away kwa Bahati.
Kazi ya mtumishi ni kuwavuta watu wafurahi huku ukipitisha ajenda za kumtukuza Mungu..
Si lazima vifungu vya Biblia vitawale katika wimbo wako, lakini kama inawapa moyo wa kuinuka waliokata tamaa, kuwakumbusha ukuu wa Mungu wale waliokengeuka, kuwapa imani ya kumshinda shetani wanaowaza kushindwa.
Nyimbo nyingi tu za Rose zinaishi na zitaendelea kuishi.
Tafadhali msimu-under rate mtu.
Kuna hizi nyimbo za Bukuku zinanibariki sSanaHuyu jamaa kazingua Sana lakini tuheshimu maoni yake lakini ukweli utabaki kua ukweli Rose Muhando ndiye mwimbaji na mtunzi Bora wa Gospel Kwa wamama tangu Tanzania ianze..
Kuna Ngoma za Rose ambazo zikipigwa hata sasa hivi utatamani kuokoka...
Hebu leta Ngoma za bahati bukuku zenye utunzi maridadi kuliko hizi za Rose hapa Chini...
Nipe uvumilivu
Wanyamazishe
Nakaza mwendo
Mteule uwe macho
Yesu Nakupenda
Si Salama
Mapambio
Raha
Hatumo
Nibariki
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni Rose atabaki kua legend Hadi kiama. Huwezi mlinganisha Zinduna na Mzee tupatupa
Umechagua nyimbo mbili za Rose Muhando kulinganisha na nyimbo kali za Bahati Bukuku.
Ijapokuwa si sahihi sana kulinganisha watumishi wa Mungu katika uimbaji kwa sababu wote wanamtumikia Mungu na nyimbo zao zinamtukuza, ila honestly Rose is miles away kwa Bahati.
Kazi ya mtumishi ni kuwavuta watu wafurahi huku ukipitisha ajenda za kumtukuza Mungu..
Si lazima vifungu vya Biblia vitawale katika wimbo wako, lakini kama inawapa moyo wa kuinuka waliokata tamaa, kuwakumbusha ukuu wa Mungu wale waliokengeuka, kuwapa imani ya kumshinda shetani wanaowaza kushindwa.
Nyimbo nyingi tu za Rose zinaishi na zitaendelea kuishi.
Tafadhali msimu-under rate mtu.
Unamkosea heshima roseRose ni mwimbaji wa taarabu hana tofauti na akina Hadija Kopa, Mzee Yusuph, tune za nyimbo zake ni nzuri ila content yake ni masimango, vijembe, kejeli nk, angetumia tune hizo kunukuu vifungu vya maandiko matakatifu basi angewajenga wengi kiimani
Rose kwenye Moyo Wangu alitulia, ni wimbo ambao upo underrated Ila kwangu hautoki kwenye playlist
Rose ni the best kwenye nyimbo za kusifu ila Bahati Bukuku kwenye nyimbo za masimulizi maana ni ngumu kumuweka katika category ya kusifu au kuabudu 😁...
Wote wapo vizuri kwa namna yao
Kiukweli nakiri kama watanzania rose tulimkosea sana kumpuuza,wakenya walitushangaa sana.Nimepitia maoni yote nasikitika hakuna aliyeweza kumpa Rose Muhando heshima yake stahiki.
Hakuna mwanamuziki wa kike aliyewahi kutokea nchi hii kama Rose Muhando, kuanzia uandishi hadi uimbaji. Wengi mnachanganya mapito aliyopitia katika maisha yake binafsi kumnyima heshima yake, sio sawa.
Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani! Nchi nyingine wanatamani Rose angekuwa mzaliwa huko kwao. Nendeni Rwanda muone, Kenya je? Sijaongelea Kongo.
Upanga uitwe upanga, Rose ni gwiji.
Ila mkuu nakuelewa sana, yaani hauna neno na mtu.
Bora hata umesema wee, huyo Bahati kukariri vifungu vya biblia ndo amzidi Rose mwenye nyimbo nyingi za maono, na mafundisho.Umechagua nyimbo mbili za Rose Muhando kulinganisha na nyimbo kali za Bahati Bukuku.