Focus ni muhimu sana maana inakutoa sehemu moja na kuelekea nyingine..sasa kitu muhimu kingine ni kuhakikisha hiyo biashara yako inazaa biashara nyingine...na nyingine tena..then hapo..lazima umasikini uuage...Mungu saidia tu...over
kwa kiasi chako mawazo yako mazuri bana tunashukuru!!''maana wengine wanatarajia kupata sifa kwa mengine mabaya
Nakukubali hapo uliposema wazo la kwanza liwe kipaji chako, au hobby so to speak. Faida ya kucheza na hobby ni kuwa kiwango cha uvumilivu huwa cha juu tofauti na yule anayefanya only for the sake if money.
Hongera kwa mada nzuri.
Tunashukuru ila shida inakujaga pale kwenye CAPITAL tuuuu...
Nakukubali hapo uliposema wazo la kwanza liwe kipaji chako, au hobby so to speak. Faida ya kucheza na hobby ni kuwa kiwango cha uvumilivu huwa cha juu tofauti na yule anayefanya only for the sake if money.
Hongera kwa mada nzuri.
HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA
5. TUMIA PERSONALITY YAKO
Kuna watu unakuta either ni Mrembo sana, Handsome na kazalika, unaweza utumia huo urembo na uhendsaamu kufanya biashara, either za marketing na kazalika
Chasha unatisha Mkuu !!! Asante sana kwa bandiko lako. Mkuu mimi sasa acha nicheze na Copy and Paste from India, yaani kama ulikuwa kichwani kwangu vile, kuna business moja India nimeisoma kwenye mtandao imenivutia sana na inaweza kulipa Bongo sana tu ikifanyiwa ukarabati kulingana na mazingira yetu!