Asanteni sana, japo replies zilikuwa chache lakini JF imenifungulia dunia Jana na Leo

Mar 21, 2024
23
118
Wakuu, baada ya kuweka Uzi hapa Jana juu ya project proposal yangu, Jana usiku wakuu wa shule tatu walinitafuta(mmoja ni WA shule ya public , wengine wa wa wili wa private school)na directors mmoja wa shule ya private Kani pm Leo mida ya sanne.

Japo Kwa uchache nimeshare ideas zangu na wao, na good enough wawili wameonesha interest na proposal yangu.
Hasa huyu director, kigezo kimoja nimechompa anipe uhakika wa kazi(Ani ajiri).

I'm now talking with my best friend who is lawyer on we can handle this issue legally.

Pia soma: Miaka minne tu, shule inakuwa bora na Wanafunzi wengi
 
Back
Top Bottom