Ananilazimisha tufunge ndoa na huku kitandani hayuko sawa. Tutaishije huko ndani?

Sasa ndio uje kunisema huku, nawewe nani alikuambia unipe mapema
20231125_074301.jpg
 
Habari yenu wana JF nipo kwenye mahusiano mwanaume, ambaye hata sielewi anaumwa au ana tatizo gani, nimejitaidi kwa hali lakini bado hapati afadhali.

Yaani mkikutana faragha mashine yake haisimami na ikisimama dakika 1 tu inalala tena, basi huwa nasema labda asubuhi itasimama lakini pia wapi.

Nashindwa elewa nitawezaje ishi na mtu wa namna hii, na analazimisha mwaka huu tufunge ndoa, huwa najaribu kumshauri jinsi ya kujitibu lakini kuna muda anakuwa mkali, anasema yeye ni mwanaume kamili hana shida yoyote.

Na hiki kitu kinapelekea hadi kuna muda huwa namchukia, hata kuonana nae huwa nafikiria sana maana hakuna mtakachofanya, kuandaa kwenyewe hajui yeye ni mtu wa kuforce apande tu, akipanda hapohapo anakuwa ashamaliza hachukui hata mzunguko.

Nisaidie nitaishi vipi na mtu wa namna hii, na ni kijana wa miaka 34 lakini kila nikijaribu kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya zamani hakuna anachonijibu hadi huwa nahisi labda hajawahi kuwa kwenye mahusiano.

Huwa nahisi pia labda ubize wa kazi zake ndio zinamfanya awe hivyo lakini mbona wikiendi anapata muda wa kupumzika vizuri tu?.
George unapelekewa moto unahamasisha ushoga unataka kuolewa hii mada mod's haijakaa sawa kulingana na jinsia ya huyu jamaa!
 
Habari yenu wana JF nipo kwenye mahusiano mwanaume, ambaye hata sielewi anaumwa au ana tatizo gani, nimejitaidi kwa hali lakini bado hapati afadhali.

Yaani mkikutana faragha mashine yake haisimami na ikisimama dakika 1 tu inalala tena, basi huwa nasema labda asubuhi itasimama lakini pia wapi.

Nashindwa elewa nitawezaje ishi na mtu wa namna hii, na analazimisha mwaka huu tufunge ndoa, huwa najaribu kumshauri jinsi ya kujitibu lakini kuna muda anakuwa mkali, anasema yeye ni mwanaume kamili hana shida yoyote.

Na hiki kitu kinapelekea hadi kuna muda huwa namchukia, hata kuonana nae huwa nafikiria sana maana hakuna mtakachofanya, kuandaa kwenyewe hajui yeye ni mtu wa kuforce apande tu, akipanda hapohapo anakuwa ashamaliza hachukui hata mzunguko.

Nisaidie nitaishi vipi na mtu wa namna hii, na ni kijana wa miaka 34 lakini kila nikijaribu kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya zamani hakuna anachonijibu hadi huwa nahisi labda hajawahi kuwa kwenye mahusiano.

Huwa nahisi pia labda ubize wa kazi zake ndio zinamfanya awe hivyo lakini mbona wikiendi anapata muda wa kupumzika vizuri tu?.
Mbona jina lako ni George la kiume? Pia huyo kijana atumie tiba mbadala atapona.
 
Ingawa mtoa mada ana jinsia tata...
Mtu wa hivyo binafsi ningemuacha tu apambane na hali yake, otherwise akubali kusaidika na kabla ya hatua yoyote ya ndoa

Mdada ukiolewa na mtu wa hivi, atakunyanyasa hakuna rangi utaacha ona, lazima akunyanyase kuficha udhaifu wake
 
Waeza kuta mleta uzi ana Id za jinsia zote ila hapo kajichanganya kwenye kulog in. ๐Ÿ˜€
 
Habari yenu wana JF nipo kwenye mahusiano mwanaume, ambaye hata sielewi anaumwa au ana tatizo gani, nimejitaidi kwa hali lakini bado hapati afadhali.

Yaani mkikutana faragha mashine yake haisimami na ikisimama dakika 1 tu inalala tena, basi huwa nasema labda asubuhi itasimama lakini pia wapi.

Nashindwa elewa nitawezaje ishi na mtu wa namna hii, na analazimisha mwaka huu tufunge ndoa, huwa najaribu kumshauri jinsi ya kujitibu lakini kuna muda anakuwa mkali, anasema yeye ni mwanaume kamili hana shida yoyote.

Na hiki kitu kinapelekea hadi kuna muda huwa namchukia, hata kuonana nae huwa nafikiria sana maana hakuna mtakachofanya, kuandaa kwenyewe hajui yeye ni mtu wa kuforce apande tu, akipanda hapohapo anakuwa ashamaliza hachukui hata mzunguko.

Nisaidie nitaishi vipi na mtu wa namna hii, na ni kijana wa miaka 34 lakini kila nikijaribu kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya zamani hakuna anachonijibu hadi huwa nahisi labda hajawahi kuwa kwenye mahusiano.

Huwa nahisi pia labda ubize wa kazi zake ndio zinamfanya awe hivyo lakini mbona wikiendi anapata muda wa kupumzika vizuri tu?.
Kwasababu tu anakua mkali,ila angehitaji kupona angepona,
Maybe je unamuona anahangaika kuhusu kujitibia ???
Hili tatizo linawasumbua vijana wengi sijuh kwanini hata ?

Kama unamuona unahangaika kujitibia bas olewa,msaidiane kutatua tatizo na huu ndiyo upendo wa kweli

Mungu akusaidie kwenye kufanya maamuzi
 
Back
Top Bottom