American Israel Public Affairs Committee (AIPAC ) ndio moja ya makundi yanayo iendesha marekani juu ya Israel kwa kiasi kikubwa ?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,388
13,140
The American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) is a lobbying group that advocates pro-Israel policies to the legislative and executive branches of the United States.

One of several pro-Israel lobbying organizations in the United States, AIPAC states that it has over 100,000 members, 17 regional offices, and "a vast pool of donors". In addition, the organization has been called one of the most powerful lobbying groups in the United States.

American Israel Public Affairs Committee

Mbona Iran inaongozwa na Ayotollahs na tena kwa kuwakandamiza raia wake na dunia imenyamaza 🤔
 
Mbona Iran inaongozwa na Ayotollahs na tena kwa kuwakandamiza raia wake na dunia imenyamaza 🤔
Mnapenda sana vihabar vya magharibi vya kuokoteza hapa na pale kuna ubaya gani ukashirikisha akili yako ..Libya walianza hivi hivi sjui haki ...kukandamiza ...raia ..mboja juzi tu huyo usa alikuwa anapiga watu virungu ili wasiandamane
 
Kaandamane we iran tukunyonge USA wanachoma mpaka bendera hawafanywi kitu. Kwa ayatola mvaa vipedo unachezea kisu au kitanzi au jambia lile alilokua anabeba medi
 
Saudi Arabia na Iran kuchinja watu ni ibada kanisa na ukitaka kuchinjwa kama kuku jaribu kujifanya kuandamana kwenye nchi hizo kupinga tawala zao za kinyama.

Marekani hata wazamiaji tu waliokimbia hizo tawala za kidhalimu wanaruhusiwa kuandamana, ni ajabu kwelikweli.
 
Back
Top Bottom