Am single again

southernboy

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
836
1,029
Baada ya kipindi kirefu leo nimechanwa makavu kuwa its done.

NB: Sina kosa, ila ni ujobles na kibunda hakisomi. Kila siku kuna mishe nasikilizia na ni kweli kuna mishe naisikilizia huu mwaka haupiti. Ila amechoka kuvumilia na mimi, nimekubali nitafanyaje sasa.

Nakaribisha pole zenu Wakuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom