Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 27,754
- 72,317
Nakazilia kukaziaNakazia
Nakazilia kukaziaNakazia
Suala la muda tu mkuui will try najua nitaweza
achana nae icho ni kiporo muda wowote unaweza kujipakulia tuh msingi macho yote yaelekeze kwenye upingwa wa shirikishokanichana anataka mwanaume ambae ameshaanza maisha mimi namchelewesha kupata watoto
ahasante kwa ushauri mkuuachana nae icho ni kiporo muda wowote unaweza kujipakulia tuh msingi macho yote yaelekeze kwenye upingwa wa shirikisho
hii sasa ni violence 😂icho ni kiporo muda wowote unaweza kujipakulia tuh
yaah ni kweli mkuuSuala la muda tu mkuu
Kabla sijakupa pole unaweza niambia huwa unapata wapi hela ya mlo wa kila siku?NAKARIBISHA POLE ZENU WAKUU
mkuu hayawezi kupita, Cha msingi we pambana upate pesani kweli najua yatapita
Pole sana brother Muombe Mungu milango itafunguka tu, ila kama nafasi yoyote inatokea piga kazi usianze kuchagua kazi sasa.kanichana anataka mwanaume ambae ameshaanza maisha mimi namchelewesha kupata watoto
Ana umri gani ?kanichana anataka mwanaume ambae ameshaanza maisha mimi namchelewesha kupata watoto
amna mwanamke ukikaa nae kwa muda mrefu wala hakupi tabu kikubwa usiwe adui yakehii sasa ni violence 😂
Yeye anayo maisha, au anataka kudandia waliofanikiwa tayari? Wanawake wa kiafrica bwana , wanataka waliofanikiwa ili hali hata elfu 10 hawawezi tafuta kwa siku.kanichana anataka mwanaume ambae ameshaanza maisha mimi namchelewesha kupata watoto
ninautafuta mkuuUsikilize wimbo wa Toni Braxton - How could an angel break my heart.
nina mishe ndogondogo nafanya na pia huwa hana mazoea ya kuniomba hela mimi ndio hua na mpa na huwa anakasirika na kusema najitesa ningekuwa na ajira angepokea kwa raha zoteKabla sijakupa pole unaweza niambia huwa unapata wapi hela ya mlo wa kila siku?
anakaa tuu hom kwa kaka yakeYeye anayo maisha, au anataka kudandia waliofanikiwa tayari? Wanawake wa kiafrica bwana , wanataka waliofanikiwa ili hali hata elfu 10 hawawezi tafuta kwa siku.
Amin mkuuPole sana brother Muombe Mungu milango itafunguka tu, ila kama nafasi yoyote inatokea piga kazi usianze kuchagua kazi sasa.