kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,656
- 1,884
Napigwa bit kwa kuhisi kua nataka kuwasiliana na mama yake mtoto nikiwa na mke wa sasa.. Vipi huko mwenzangu? Imekua kesi, yaani sipati wasaa wa kuongea na dogo kwa sasa ana miaka 4. Toka niachane na mama yake. Ishu kubwa ni wivu kwa huyu wa sasa.
Amenisemelea kwa mama yangu mzazi yaani nimefokewa na maza sio poa wakati sina negative movement.
Amenisemelea kwa mama yangu mzazi yaani nimefokewa na maza sio poa wakati sina negative movement.