Airports: Kenya vs Tanzania

Sheria ipi wakati hamna aiport ina-qualify ku-land international flights aside JKIA!
Sheria kuanzia jana ni kuwa Kenya hairuhusu non-Kenyans to land. Halafu Moi airport Msa pia ni international na Italians wanaoishi malindi huwa wanasafiri direct from Italy to Moi airport Msa. Usijifanye mjuaji sana.
 
Sheria ipi wakati hamna aiport ina-qualify ku-land international flights aside JKIA!
Mbona umenyamaza mzee, mbona umeingia mitini? Si nilidhani Kenya ina airport moja international. Leta evidence. Kuja tufanye debate.
 
Sheria kuanzia jana ni kuwa Kenya hairuhusu non-Kenyans to land. Halafu Moi airport Msa pia ni international na Italians wanaoishi malindi huwa wanasafiri direct from Italy to Moi airport Msa. Usijifanye mjuaji sana.
Mko na hata Mmoja Nyie?
 
Ndio isiolo ina matatizo kwa sasa lakini tutairekebisha. Turudi kwenye mada. Eti unasema Moi Msa sio international airport. Leta evidence yako nami nikijazie server na yangu.
mbona ndege yenu imeihepa?

Kabishane KQ maana haijui uwanja wa Moi!

Capture.PNG
 
mbona ndege yenu imeihepa?

Kabishane KQ maana haijui uwanja wa Moi!
Ni kama wamekatazwa kuland Kenya nzima. Ndege ambazo zimegeuzwa JKIA kwa kawaida huwa zinaland Moi Mombasa kwa sababu Moi ina runway ya international standards
 
Nataka evidence ya huu ulioandika 👇

Ni kama wamekatazwa kuland Kenya nzima. Ndege ambazo zimegeuzwa JKIA kwa kawaida huwa zinaland Moi Mombasa kwa sababu Moi ina runway ya international standards
 
All you have is a new airport no passenger volume.kenya airports were built awhile back and have been running effectively through the years.The true value of an airport is the passenger volume which manifest as profit not new facility.View attachment 1389838View attachment 1389839
Now where is Moi airport with watchmen seats in the waiting lounge?

JNIA Terminal II was built way before Moi, see the seats!

DAR-Terminal-Landside-e1512870093487-1440x1920.jpg

DAR-Domestic-Departures-Lounge-e1512871125949-1440x1920.jpg

Tanzanite-Lounge-DAR-5A.jpg
 
JKiA is still a regional HUB despite whatever “fancy” facilities that are coming up,they don’t even qualify for profitable USA route.As such they are years behind and won’t catch.Food for thought!Stop clueless

Post the numbers clown l doubt if investment on the new airport has reached break even point.
hahah u just responded to ur shithole!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom