green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,364
- 35,975
Jiulize namna ambavyo na Israel itaweza kuhimili mashambulizi kutoka Syria,iraq,Yemen na HamasNyie mechanganyikiwa, huyo Iran wenu, kweli unaamini anaweza kuhimili vita dhidi ya Israel, Jordani, USA? Anatafuta kuharibu nchi yake nzuri ambayo inakuja katika suala zima la maendeleo.
Hawa Supporters wa Israel wanafikiri Israel ni miungu watu. Shenzi zao!!Jiulize namna ambavyo na Israel itaweza kuhimili mashambulizi kutoka Syria,iraq,Yemen na Hamas
Kula chuma hichooNyie mechanganyikiwa, huyo Iran wenu, kweli unaamini anaweza kuhimili vita dhidi ya Israel, Jordani, USA? Anatafuta kuharibu nchi yake nzuri ambayo inakuja katika suala zima la maendeleo.
Yaani yaani makombora yamepigwa chini mengine hata hayajafika israel na bado israel kayapiga chini yaliyofika unakuja kinafiki kumpaisha huyu superpower wa mikwara mbuzi iran aliyepigwa kofi la usoBaada ya Israel kupata kipigo cha makombora na drone toka Iran sasa Sasa inafuata Jordan kwa kujifanya kiherehere
️BREAKING
Iran says it is watching Jordan and it can become a target if it helps Israel in its next move!
Kwanini maswali kama haya hujiulizi na upande wa pili??Nyie mechanganyikiwa, huyo Iran wenu, kweli unaamini anaweza kuhimili vita dhidi ya Israel, Jordani, USA? Anatafuta kuharibu nchi yake nzuri ambayo inakuja katika suala zima la maendeleo.
Ila Jordan ni wanafiki balaa yule mfalme juzi alikuwa anarusha msaada ghaza leo hii anamsidia mwisreliBaada ya Israel kupata kipigo cha makombora na drone toka Iran sasa Sasa inafuata Jordan kwa kujifanya kiherehere
️BREAKING
Iran says it is watching Jordan and it can become a target if it helps Israel in its next move!
mlisema iran hawezi kujibu,kajibu mnauliza atahimili...sisi tunajua Israel atapigwa vibaya na Iran kama mandonga ila sasa mkiungana kama hivyo ndo kidoooogo,mnaweza kupata sareNyie mechanganyikiwa, huyo Iran wenu, kweli unaamini anaweza kuhimili vita dhidi ya Israel, Jordani, USA? Anatafuta kuharibu nchi yake nzuri ambayo inakuja katika suala zima la maendeleo.
Kwa nini mumtaje US .Nyie mechanganyikiwa, huyo Iran wenu, kweli unaamini anaweza kuhimili vita dhidi ya Israel, Jordani, USA? Anatafuta kuharibu nchi yake nzuri ambayo inakuja katika suala zima la maendeleo.
Bado wachache sana mnaoendelea kuamini propaganda za Israel lakini dunia ilipofikia watu wamefunguliwa ubongo wanajionea hakuna cha propaganda tena.Kutungua 99.9%,hakika jeshi la Israel ndio jeshi bora kabisa duniani
Naanza kukubaliana na aliesena +255 ni namba 6. Nyuma yaKwa nini mumtaje US .
US ameshakuwa wazi hatopigana ugomvi unaoanzishwa na Israel, atamsaidia tu fedha na vifaa.
Kila mnapoongelea Israel vs Iran basi mnamtaja US.
LEO HII KILE KICHAKA CHA IDF KUWA JESHI BORA MIDDLE EAST KIMEFYEKWA.
Makombora na drones 350 unaishia kuchubua tu base😂😂😂😂Kula chuma hichoo
Ndoto ya Iran ilikuwa kama hii picha walioitengeneza- walijua kuwa Israel kwa kuwapelekea drone 300+ na Makombora kama hili lililondondoka red sea . Jana Israel ingekuwa majivu🤣🤣. Iran jana peke yake wametumia silaha zenye thamani ya zaidi ya dola 2 Billions na ajafanikiwa.Mbwembwe zote za Iran drone zao total zimebeba tani 60 tu za Mabomu to IsraelKutungua 99.9%,hakika jeshi la Israel ndio jeshi bora kabisa duniani
Wacha kujitekenya Israel hawezi rudisha anajua akirudisha ndio mwisho wake.Iran amerusha makombola na drones mamia asilimia 99 yamepigwa chini usipotoshe watu humu kwamba Israel imepigwa na Israel imetoa green light kwa jeshi lake kujibu subilieni tu namm nasemaje kwa Israel ilivyoweza jilinda kwa hayo mashambulizi je Iran ataweza akipigwa counter attacks 😂😂😂
Kweli huyu nimeamini ndie mlinzi wa mstari wa mbele wa taifa teule la Muingereza na America hata Paulo alikufa kabla ya kuwepo taifa lilopandikizwa na Muingereza, Paulo alimkusudia Yakobo ndio Israel c nchi.Kumbe mfalme Abdullah ll ni mtu wa maana kabisa? Tutamlinda kwa jasho na damu mzalendo huyu anasimamia ukweli kulilinda Taifa teule.Nadhani na Saudia kule tunakokwendaga kulizunguka jiwe jeupe naye yupo bega kwa bega kuwasaidia watoto wa mama mkubwa ( Sarat) kweli damu mzito kuliko maji. Sasa wewe mbongo Wala historia hujui unaanza vipi kulipanga Taifa la Mungu?