TANZIA Afisa Mtendaji Mkuu Wa PPRA afariki dunia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,051
9,951
1626620026292.png

Mhandisi Leornard S. Kapongo aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhibiti Ugavi wa Umma(PPRA) amefariki dunia

Alikuwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan, amefariki Julai 17 jioni
 
View attachment 1858530

Mhandisi Leornard S. Kapongo aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhibiti Ugavi wa Umma(PPRA) amefariki dunia

Alikuwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan, amefariki Julai 17 jioni
Tunatoa pole kwa familia ya marehemu, bodi ya wakurugenzi...

Nilidhani angeandika ...yeye mwenyekiti anatoa pole kwa badala ya tunatoa...
 
Back
Top Bottom