VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,364
- Thread starter
- #21
Je hii itasaidia kupunguza hasira au huzuni, (will justice be made then) na je aliyewauwa watu mia moja na kumyonga mara moja je inaumiza zaidi ya aliyetoa roho ya mtu mmoja?.., mbona naona adhabu ni sawasawa tu tena na wengine wanaweza wakasema kumuua mtu ni adhabu ndogo ambayo ni just seconds kwa sumu au umeme and all is forgotten (hakuna machungu tena).. while you will stay hurted na huenda wewe kifo chako kikawa more painfull kuliko huyo bwanaAdhabu ya kifo na iwepo. Kama kamtoa roho mtu wangu na yeye pia aondoke.