Abdulrahman Kinana: Chaguzi za 2019 na 2020 zilileta hofu, Mwaka 2024 na 2025 zitakuwa za Huru na Haki

Bob Marley alishawaimba hawa katika "Guiltiness" kwenye albamu ya Exodus.


View: https://youtu.be/W5lAQJYLuWI?si=vV0UdwN4TfUHg0Fx

Guiltiness
Song by Bob Marley and the Wailers

Guiltiness (talkin' 'bout guiltiness)
Pressed on their conscience. Oh yeah.
And they live their lives (they live their lives)
On false pretence everyday -
Each and everyday. Yeah.
These are the big fish
Who always try to eat down the small fish,
Just the small fish.
I tell you what: they would do anything
To materialize their every wish. Oh yeah-eah-eah-eah.

Say: Woe to the downpressors:
They'll eat the bread of sorrow!
Woe to the downpressors:
They'll eat the bread of sad tomorrow!
Woe to the downpressors:
They'll eat the bread of sorrow!
Oh, yeah-eah! Oh, yeah-eah-eah-eah!

Pressed on their conscience. Oh yeah. Oh yeah.
These are the big fish
Who always try to eat down the small fish,
Just the small fish.
I tell you what: they would do anything
To materialize their every wish. Oh, yeah-eah-eah-eah-eah-eah.

But: Woe to the downpressors:
They'll eat the bread of sorrow!
Woe to the downpressors:
They'll eat the bread of sad tomorrow!
Woe to the downpressors:
They'll eat the bread of sad tomorrow!
Oh, yeah-eah! Oh yeah-e-e-e-e-e!

Guiltiness. Oh yeah. Ah!
They'll eat the bread of sorrow everyday.

Source: Musixmatch
Songwriters: Bob Marley
Guiltiness lyrics © Cayman Music, Fifty Six Hope Road Music Ltd., Blackwell Fuller Music Publishing Llc
 
Sasa huu uchaguzi wa hisani ya Rais ndio hatutaki.
Tuna hitaji katiba itafsiri uchaguzi sio ati Rais ame amua uwe huru!!! Hii ni akili au matope??
Kwani hata katiba ya kipindi cha Magufuli si iliruhusu mikutano ya hadhara? Si iliruhusu pia mikutano ya hadhara? Katiba ni vipande tu vya makaratasi ndugu, mnai overrate sana
 
Hapa Kinana ni kama anataka kusukuma lawama kwa Magufuli na kumsafisha Samia...

But the matter of fact, CCM ni ile ile na Magufuli hakufanya chochote pasipo msaada wa CCM akiwepo Kinana na genge lake lao lote la bao la mkono...
 
Sheria za Uchaguzi ndio za kubadili , hatuwezi kuingizwa kingi kwa kauli za Kinana , Mwenye Tuhuma za kuiba kura 2015 , Akiongoza ofisi ya Masaki .

Nani amesahau ?
Kama anauwezo wakupikua tembo mzima iweje kasanduku Ka Kula ?? Huyu jangili hafai
 
View attachment 2925116

"Uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao utakuwa wa huru na wa haki, wakati nazungumza hivi nina hakika wapo ambao wana mashaka na kauli hii, na hao wenye mashaka wanazo sababu, na sababu zao zinatokana na 2019 na 2020 huo ndio ukweli"

"Sheria tuliyokuwa nayo ya uchaguzi ambayo ilitupeleka kwenye uchaguzi wa 2015 iliwezesha wanachama kutoka upinzani 117 kuingia bungeni, sheria hiyo hiyo iliwezesha karibu asilimia 40 ya madiwani kuingia kwenye nafasi za halmashauri, tulipokuja 2020... msema kweli lazima tuseme kweli"

"Hofu ya watanzania hofu ya wenzangu vyama vya siasa, asasi za kiraia, baadhi ya viongozi wa dini, msingi wa hofu yao ni yale yaliyotokea 2019/2020. Niwahakikishie Rais Samia Suluhu Hassan ameamua uchaguzi mwaka huu na mwakani mtaachwa wapiga uamuzi wao utoe tafsiri ya uchaguzi" - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa.

Chanzo: EATV
Mzee wa pembe za ndovu asitupange;CCM haijawai kufanya uchaguzi wa huru na haki.Ninachompenda Magufuli ni kuwa alikuja kutuonesha jinsi serikali ya CCM inavyotumia dola kupola uchaguzi na haki zingine za Watanzania.
Ni kama Makonda anavyofanya sasa hivi kuiweka uchi serikali ya Samia!
 
sasa kwanini hawataki tume huru? Kwanini hiyo miswada mitatu inaongelea wale wale waliotuletea matatizo 2019/2020?
 
Kinana huyu amesahau yeye na genge lake la January na Nape waliyoyafanya 2015 kumuibia Lowasa kura zake za Urais na kuliingiza madarakani lile dhalim.
 
Kinana anazungumzia rafu za 2019 na 2020, anasahau zile za miaka ya nyuma yake, ambazo naamini ndio zitaanza kujirudia kuanzia mwaka huu wa 2024 kwenye chaguzi za S/M, na 2025 kwenye uchaguzi mkuu.

Wapinzani kuendelea kushiriki chaguzi zetu kwa kutegemea huruma ya CCM, wanaonesha vile hawako makini kuja kuongoza hili taifa mbele ya safari.

Bila Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi wapinzani wanashiriki chaguzi ili wapate ruzuku, posho, na mishahara minono ya ubunge, hakuna kingine zaidi ya hapo. Bado nawasubiri Chadema na hilo tamko lao la Mtwara nijue kama wako serious au hapana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Tunachotaka ni TUME HURU itakayojiongoza yenyewe na kuajiri Wafanyakazi wake wenyewe na sio huruma za MWENYEKITI wa CCM.
 
View attachment 2925116

"Uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao utakuwa wa huru na wa haki, wakati nazungumza hivi nina hakika wapo ambao wana mashaka na kauli hii, na hao wenye mashaka wanazo sababu, na sababu zao zinatokana na 2019 na 2020 huo ndio ukweli"

"Sheria tuliyokuwa nayo ya uchaguzi ambayo ilitupeleka kwenye uchaguzi wa 2015 iliwezesha wanachama kutoka upinzani 117 kuingia bungeni, sheria hiyo hiyo iliwezesha karibu asilimia 40 ya madiwani kuingia kwenye nafasi za halmashauri, tulipokuja 2020... msema kweli lazima tuseme kweli"

"Hofu ya watanzania hofu ya wenzangu vyama vya siasa, asasi za kiraia, baadhi ya viongozi wa dini, msingi wa hofu yao ni yale yaliyotokea 2019/2020. Niwahakikishie Rais Samia Suluhu Hassan ameamua uchaguzi mwaka huu na mwakani mtaachwa wapiga uamuzi wao utoe tafsiri ya uchaguzi" - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa.

Chanzo: EATV
THIS IS NONSENSE!

Haya maelezo yalipaswa kutolewa na tume , tena tume HURU ya Uchaguzi, na waombe radhi kwa Watanzania kutokana na ukandamizwaji mkubwa wa HAKI na wizi wa kura wa kupindukia ambao haujawahi kutokea tangu mfumo wa vyama vingi kuasisiwa nchini,


Rais Samia ambaye ni mwanaCCM Pamoja na Kinana yeye kama Katibu wa chama kimojawapo cha SIASA Hana mamlaka ya kutupa au kututoa hofu maana yeye hayo mamlaka Hana Kwani naye kinandharia alipaswa kuwa muhanga wa huo ukandamizwaji, unless sasa tukubaliane kuwa CCM wao ndio wanaamua Uchaguzi uwe HURU au vinginevyo .


Hawa watu sijui wanatuonaje Watanzania, wanafikiri Sisi ni mazombi??
 
Niwahakikishie Rais Samia Suluhu Hassan ameamua uchaguzi mwaka huu na mwakani mtaachwa wapiga uamuzi wao utoe tafsiri ya uchaguzi.
 
Speaking after the fact...; tunaamini vipi kama kipindi kile aliogopa kusema kweli sababu ya shinikizo sasa hivi hasemi uongo sababu ya udhia unaopenyezwa kwenye Rupia ?
 
Back
Top Bottom