yafungia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa. "Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
  2. BARD AI

    NEMC yazifungia Bar, Kumbi za Starehe 89 zikiwemo Wavuvi Kempu, Boardroom, Ware House

    Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Samuel Gwamaka amesema jumla ya baa na kumbi za starehe 89 zimefungiwa baada ya kubaini kupiga kelele na mitetemo iliyozidi viwango vinavyotakiwa. Dkt. Gwamaka amesema baa na kumbi hizo za starehe zimebainika...
  3. Melki Wamatukio

    UZUSHI BASATA yafungia wimbo wa Roma Mkatoliki, "Nipeni Maua Yangu"

    Kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa Nipeni Maua yangu wa Roma Mkatoliki. Je, taarifa hizi zina ukweli ndani yake?
  4. Sildenafil Citrate

    KWELI Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa muda baada ya CAF kushauri uboreshwe

    Asubuhi ya leo, Februari 22, 2023, kumekuwepo taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikisema kuwa Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) limeufungia uwanja wa Mkapa kutokutumika kwa mwezi mmoja ili kuruhusu kufanyika kwa maboresho ya sehemu ya kuchezea (Pitch) ambayo imeharibika na kukosa...
  5. BARD AI

    TCRA yafungia Laini za Simu 900,000 zisizo na Usajili wa Alama za Vidole

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hadi kufikia Jumanne, Februari 14, 2023, Jumla ya laini za simu 900,000 ambazo hazikuwa na Usajili Rasmi wa Alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa, zilikuwa zimefungiwa mawasiliano.
  6. JanguKamaJangu

    Malawi: Serikali yafungia vituo vitatu vya TV na 6 vya radio

    Serikali ya Malawi imevifungia vituo vitatu vya Televisheni na sita vya radio kutokana na kutolipa ada ya mwaka ya leseni, ambapo pia zoezi linatarajiwa kuendelea kwa kufungia leseni za vyombo vya habari 30 kufikia mwisho wa 2022. Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari kwa Kusini mwa Afrika...
  7. Kichwa Kichafu

    FIFA na UEFA zafungia timu zote za mpira wa miguu za Urusi

    Habari, FIFA na UEFA zimevifungia vilabu vyote vya mpira wa miguu vya Urusi kushiriki katika michezo. Zimevifungia kuanzia ngazi ya vilabu hadi kimataifa na kuzuia kushiriki kombe la dunia 2022 na mashindano ya wanawake Euro 2022. Kufungiwa huko ni muendelezo wa hatua zinazochukuliwa na...
  8. The Sheriff

    China yafuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu wa biashara za mtandaoni

    Huang Wei China imefuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo. Huang Wei, anayejulikana kwa jina maarufu la Viya, ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo ambayo imekua kwa kasi...
  9. beth

    Afrika Kusini: Samsung yafungia Smart TV zilizoibwa wakati wa ghasia

    Kampuni ya Vifaa vya Kielektroniki ya Samsung imesema imezifungia runinga za kisasa (Smart TV) ambazo ziliibwa kufuatia ghasia zilizotokea baada ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma, kuhukumiwa na kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani. Hukumu ya Zuma ilipelekea maandamano na...
Back
Top Bottom