rostam aziz

  1. AbuuMaryam

    Nini kipo nyuma ya misaada ya kukabiliana na COVID-19 anayoendelea kutoa Rostam Aziz?

    Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ Anamwaga pesa mno. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN. Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la...
  2. J

    Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

    Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19. Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini. Maendeleo...
  3. J

    Rostam Aziz atoa msaada wa sh 500 milioni kukabili Covid 19 Zanzibar, makamu wa Rais Idd Seif awataka watanzania waache ukaidi

    Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash...
  4. Applicant

    Rostam kutoa Bilioni 1 kwa ajili ya vitakasa mikono

    Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Azizi ameahidi kutoa Sh1 bilioni kwaajili ya vitakasa mikono kwa daladala za Jiji la Dar es Salaam na Unguja katika kuunga juhudi za Serikali kukabiliana na virusi vya corona. Rostam alitoa ahadi hiyo mbele ya Waziri Mkuu, Majaliwa Khasim Majaliwa. Wa...
  5. Kaka Pekee

    Bilionea Rostam Aziz amemalizana na Vodacom Tanzania (Auza hisa zote kwa Vodacom SA)

    Tanzanian Tycoon Rostam Aziz Sells Last Tranche Of Vodacom Shares For $220 Million Tajiri Kongwe nchini Tanzania Rostam Aziz, Hatimaye amemalizia Ngwe ya Mwisho ya Mauzo fungu la mwisho la Hisa zake za Vodacom Tanzania kwa kuwauzia Vodacom South Africa. Kwa Mujibu wa report kutoka Citizen...
Back
Top Bottom