payoneer

Payoneer is a financial services company that provides online money transfer, digital payment services and provides customers with working capital.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kutoa Pesa Payoneer Kwenda Local Bank Inatumia Muda Gani?

    Niaje pande hizi wakuu? Bana me mgeni kidogo kwenye haya maswala na nilitaka kufahamu jambo kuhusu Payoneer, Ni kiasi cha muda gani inatumia mpaka pesa kukufikia ukiwithdraw direct kutoka payoneer kwenda Local Bank? Nimetumia CRDB, Nimewithdraw Jumanne ila hadi leo Jumatano bado haijafika
  2. Tinnvibez

    Payoneer account verification

    Habari, Bila shaka uko poa. Mimi ni Freelancer na nauza mziki wangu kwenye majukwaa mengi ya kimuziki. Nimejiunga na Payoneer NIDA na kila kitu kimekubali shida kwenye Utility au Bank Statement. Nishafanya ku-upload Bank Statement, utility ili wa-verify address wanavosema ila inakaa. Nikawa...
  3. YoyoTheDeveloper

    Kutoa Pesa Payoneer Kuja Bank nitumie NMB au CRDB

    Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
  4. Mkurya romantic

    Payoneer inafanya kazi kwa Tanzania?

    Wanajukwaa wenzangu tunaopenda kufanya kazi za online na watukutoka nje ya nchi nilikua naomba kuulize hivi payoneer inaruhu kupokea pesa toka nje ya nchi??
  5. Nafaka

    Hamisha pesa directly toka payoneer mastercard kuja airtel money haraka

    Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu ya makato pale mnapoenda kudraw pesa kwakutumia payoneer mastercard sasa airtel wamesolve hilo shida. Airtel wana huduma ya kuhamisha pesa kutoka mastercard au visa kuja airtel, hivyo unaweza tumia njia hiyo hamisha pesa toka payoneer account kuja airtel...
  6. Nafaka

    Pigo jingine kwa watumiaji wa Payoneer hasa freelancers

    Kwa wale wenzangu na mimi mnaodaka pesa mtandaoni mtakuwa manijua payoneer njia inayokuwezesha kuwa na akaunti ya dollar marekani na kadi ya kuwithdraaw pesa yako kwenye atm yoyote, au ukawa na akaunti ya Euro Ujerumani na kadi ya kuwithdraw pesa yako au Pound account U.K. Sasa kadi za payoneer...
Back
Top Bottom