nyingi zaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Genius

    Kijue kitabu kilichotafsiriwa kwa lugha nyingi zaidi duniani

    Kitabu cha kwanza kutafsiriwa kwenda kwenye lugha nyingi ni Biblia, Ambayo ilitafsiriwa kwenda kwenye lugha takribani 3589. Kitabu cha pili kutafsiriwa kwa lugha nyingi ni Don Quixote, riwaya iliyoandikwa na Miguel de Cervantes (Pichani), Riwaya hii huhesabiwa kuwa ni riwaya bora ulaya nzima...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hizi ni timu 5 duniani zilizowahi kucheza mechi nyingi zaidi za ligi bila kupoteza

    5. Al Ahly SC - Misri - 71 CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Al Ahly mabingwa wa kistoria wa Misri ni moja ya klabu kubwa na tishio barani Afrika, ikiwa na rekodi ya kutwaa mataji 42 ya ligi kuu ya nchini Misri na mataji 10 ya ligi ya mabingwa Afrika. Ikiwa na makao yake katika jiji la Cairo klabu...
  3. Donnie Charlie

    Hispania: Waziri Edelmira Barreira amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa mara nyingi Zaidi.

    Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, basi bwana sijui niseme ni jambo la kushangaza au nikawaida huko Uhispania bwana wameanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wafanye tendo la ndoa kardi uwezavyo. Edelmira Barreira ambae amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa...
  4. Gan star

    Jicho la Mwewe: Kwanini Mataifa mengi seriously sasa yanaelekeza silaha nyingi zaidi Ukraine?

    Mapambano makali zaidi ya kivita yanaendelea Ukraine hasa mashariki mwa nchi, unaambiwa mapigano yaliyoko kule ni zaidi ya movie za kivita , Jeshi la Urusi limeuchakaza mji wa Mariopol lakini kwa sababu ya ushujaa wa jeshi la Ukraine Urusi imeshindwa kuumiliki mji Kwa 💯 hii ni baada ya...
  5. chizcom

    Unafahamu nchi ambazo zina lugha hai nyingi zaidi?

    Papua New Guinea ndiyo nchi yenye lugha nyingi zaidi yenye karibu lugha 840 zinazoishi. Tofauti za lugha za Papua New Guinea zinaweza kuelezewa kwa kiasi kikubwa na topografia ya nchi yenye mabonde yenye kina kirefu na ardhi ngumu imesababisha mgawanyiko wa makabila na koo na hivyo lugha na...
Back
Top Bottom