muhambwe

Muhambwe is an administrative constituency in Kibondo District of Kigoma Region in Tanzania. At the time of the 2012 census, Kibondo District had a total population of 261,331

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    MBUNGE DKT. FLORENCE SAMIZI, Mbunge wa Muhambwe Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji, Mwaka wa Fedha 2024-2025 Bungeni, Dodoma.

    MBUNGE DKT. FLORENCE SAMIZI, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kwa bidii kuhakikisha azma ya kumtua Mama Ndoo...
  2. B

    Muhambwe wampa 5 Rais Samia mradi wa maji wa milioni 650, mbunge atoa kompyuta na mashine ya photocopy

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kufanya mikutano ya hadhara kuelezea utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo leo alikuwa Kata ya Misezero Kijiji cha Kumkugwa. Wananchi wa Kumkugwa wameonyesha kufurahia mno na kumshukuru Rais Samia...
  3. B

    DKT. Samizi amshukuru Rais Samia kumtua Mama ndoo kichwani Muhambwe

    Jana Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kukagua miradi ya maji ambapo Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Maji kwa namna wanavyofanikisha kumtua ndoo kichwani Mama na Wananchi wa Muhambwe. Kwenye...
  4. B

    Mbunge Samizi amshukuru Rais Samia kufanikisha kuanza kwa ujenzi wa VETA Muhambwe

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa adha ya muda mrefu ya Vijana na Wananchi wa Muhambwe kukosa Chuo cha Ufundi na hivyo kupata shida kupata mafunzo stadi hayo maeneo mengine. Katika kuhakikisha watu wetu...
  5. B

    Dkt. Samizi achangia Bungeni, aiomba Serikali kutatua kero Jimbo la Muhambwe

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amechangia Bajeti ya Wizara ya TAMISEMI Bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine ametoa hoja mbalimbali kwa ajili ya kutatua kero na kusukuma maendeleo Jimboni kwake. Kwanza; Dkt. Samia amempongeza Rais...
  6. B

    Muhambwe yapaza sauti kumshukuru Rais Samia kwa kufikisha mapema mbolea ya kupandia, wiki ijayo kushuka nyingine

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kuelezea Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimboni pamoja na kusikiliza na kutatua kero za Wananchi ambapo Jana alikuwa na Mkutano wa hadhara Kata ya Kibondo. Akiwa Kata ya Kibondo Wananchi...
  7. B

    Dkt. Florence Samizi akamilisha ziara yake jimboni Muhambwe kwa kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM

    Baada ya ziara yake ya kutembelea Wananchi kwenye Vijiji mbalimbali Jimboni kwake kusikiliza na kutatua kero zao, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi alifanya mkutano wa mwisho wa kushukuru wananchi katika Kata ya Kibondo Mjini ambapo alishukuru Kata zote...
  8. ACT Wazalendo

    Taarifa Rasmi ya Chama cha ACT Wazalendo Juu ya Chaguzi za Marudio

    Taarifa Kwa Vyombo vya Habari UZOEFU WA ACT WAZALENDO KATIKA KUSHIRIKI CHAGUZI ZA MARUDIO ZA 16 MEI 2021 Chama cha ACT Wazalendo kilishiriki katika chaguzi ndogo za marudio katika Majimbo ya Muhambwe na Buhigwe na Kata 5 kati ya Kata 17 zilizokuwa zinachagua Madiwani. Tuliamua kushiriki katika...
  9. S

    Zitto ni kweli anakubali kushindwa au anaficha aibu ya kutotaka kusikiliza ushauri wa wenzake?

    Ameandika hivi kupitia twitter: Tumekusanya matokeo ya uchaguzi katika vituo vyote 336 vya kupigia kura Jimbo la Muhambwe. Kura zetu, 41% ya kura zote, haziwezi kutupa Ushindi. Uchaguzi uliendeshwa vizuri. Kasoro kadhaa zilizojitokeza zisingebadili matokeo. Tunatumia uchaguzi huu kama Mafunzo...
  10. mkalamo

    Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA. Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa...
  11. J

    CHADEMA hongereni kwa kuweka mpira kwapani mdogo wenu Zitto Kabwe analialia huko Muhambwe!

    Heri nusu shari kuliko shari kamili. Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi. Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya uchaguzi Leo wakati wananchi wanapiga kura kwa utulivu na amani Zitto Kabwe anaturejesha kwenye...
  12. G Sam

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi mdogo Muhambwe: Dkt. Florence Samizi ashinda kwa kishindo

    Zilikuwa ni kauli za kipuuzi kwa muda wake wa kipuuzi. Tunamshukuru Mungu zimekoma kabisa kabisa. Mungu akikupa mamlaka usiyatumie kama fimbo kwa kuwa unao uwezo wa kuyatumia kama fimbo na ukapata unachotaka. Tunamshukuru aliyekomesha kauli hii na za aina yake. Narudia tena "Mungu ni mwema"...
  13. R

    Mlio Muhambwe na Buhigwe tupeni kinachoendelea

    Bado masanduku ya kura hawajakimbia nayo? Bado kura zilizopigwa tayari hazijatumbukizwa kwenye masanduku ya kura Bado mawakala hawajafurushwa kutoka kwenye vituo vya kupigia kura? Bado Majina ya wapiga kura wenu hayafutwa
  14. Roving Journalist

    Tume ya Uchaguzi yawataka mawakala wa vyama vya siasa na wasimamizi kuzingatia sheria za Uchaguzi katika Uchaguzi mdogo wa muhambwe, buhigwe na kata 5

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma na Uchaguzi wa Udiwani katika kata tano za Tanzania Bara, vina wajibu wa kuweka mawakala kwenye vituo vya kupigia na kujumlisha kura lakini mawakala hao...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Makamanda shime twendeni Muhambwe tukaipigie kampeni CCM kwa sasa inatufaa

    Makamanda wenzangu twendeni Muhambwe tukajazane majukwaani tuhakikishe CCM inashinda kwa kishindo kikuu. CCM ya sasa imebadilika ndio tuliokuwa tunaitaka. CCM ya sasa inatoa uhuru wa kujieleza. CCM ya sasa haina watekaji. Haina mafisadi Hii ndio tuliokuwa tunaitaka. Shime makamanda wa kike na...
  16. Matope

    CCM kuzindua rasmi kampeni jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma - Twende na Dkt. Florence Samizi

    Haya haya kumekucha Jimbo la Muhambwe Kigoma Kampeni rasmi kuzinduliwa za CCM kesho na Mlezi wa Mkoa Mh Kassim Majaliwa mambo ni moto. Mji wa kibondo umependeza kwa rangi ya kijani kila mtaa. Wana Tot kutoka makao makuu wameshafika wakiwa na Loli kubwaaaa kama treni. Kiufupi kesho ccm...
  17. beth

    NEC yatoa ratiba ya Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe

    Tume ya Uchaguzi (NEC) imesema Uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Buhigwe utafanyika Aprili 30. Jimbo hilo limekuwa wazi baada ya aliyekuwa Mbunge wake kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa ratiba ya NEC, Kampeni za Buhigwe na Muhambwe ambapo pia pako wazi baada ya kifo aliyekuwa Mbunge wake...
  18. Analogia Malenga

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wasema watashiriki uchaguzi mdogo jimbo la Muhambwe

    Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kitashiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe, ambalo liko wazi baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo Wamesema hauwezi kusimamisha shughuli zote kwa sababu ya kusubiri jambo moja. Hivyo watashiriki Uchaguzi huku...
  19. Miss Zomboko

    CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe

    Chama cha CHADEMA kimesema hakitashiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Muhambwe lililopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma. Jimbo la Muhambwe liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge Atashasta Nditiye kufariki dunia Februari 12, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma alikokuwa...
Back
Top Bottom