Hello, mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27 niko Dodoma, nahitaji mchumba/girlfriend mwenye age 18 - 25 ambaye yupo serious na ana real love coz nitampenda na kumpa nafasi anayostahili. Anicheki kwa 0782 855 136.
Gertrude Ngoma (26) amefungua kesi akidai kupotezewa muda na kuchoka kusubiri kuolewa na Herbert Salaliki ambaye wamekuwa kwenye Uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8
Getrude amelalamika pamoja kuwa na mtoto na Salaliki lakini bado alikuwa anaishi na wazazi wake badala ya kuungana na mumewe...
Wakubwa habari zenu?
Leo naleta mada hapa ila kiukweli nina amani na furaha tele ingawa jana nimepigwa kibuti.
Huyu jamaa kwa kweli haeleweki. Yeye mwenyewe pia hajielewi anataka nin katika haya maisha. Ni kijana wa miaka 31, ameajiriwa na amepanga chumba kimoja. Tumefahamiana naye muda mrefu...
Ni swali fupi tu hapa na sababu ni fupi tu ya kuletwa kulewa hili swali...
Sio rahisi mtu anapoanzisha mahusiano mapya kusema kuwa yeye ndio kaachwa au yeye ndio alifumaniwa ndio ikawa sababu ya yeye kuachwa.ila wengi huwa wanasema upande wa pili kuwa kuwa ndio wenye makosa na wao ndio...
Je? Wewe ni mmoja kati ya wanaosema maumivu ya kuachwa ni makali kushinda maumivu ya viungo vya mwili? Mbona ni kama unajaribu kuwashauri madaktari waanze kufanya oparesheni bila ganzi hivi? Enewei! Tuachane na hilo! Jambo la msingi ni kuwa kuna maisha baada ya Brekapu 💔!
Yafuatayo ni mambo...
Habarini wana jamii forums huwa napenda sana michango yenu humu maana kuna watu wapo bright sana na wana ushauri mzuri sana
Ipo hivi, nina mpenzi wangu tuna miaka miwili sasa katika mahusiano yetu siku hizi ameanza katabia hanitafuti kabisa na mimi nikinyamaza nae anakaa kimya
Zamani alikuwa...
Mimi sihangaiki na mwizi wangu maana huenda amedanganywa kwamba manzi yangu ipo singo, namuanzishia mpenzi wangu na kumfungashia virago kuanzia dakika hio
NB: Kama mwizi wangu ni mshkaji ua jamaa anayejua nina uhusiano na huyo manzi hapo patawaka moto kwa wote wawili.
We tuambie utapambana na...
Habari zenu wakuu. Najitokeza kwenu mimi ni kijana wa kiume umri miaka 27. Ninaishi Dar es Salaam. Ninatafuta mchumba wa kike mwenye maambukizi ya virusi lakini awe anatumia ARVs. Mambo mengine tutaelezana PM. Dini si muhimu sana kwangu.
Mimi mwenyewe siishi na maambukizi ieleweke.
Dira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.