kimakosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Nigeria: Wanajeshi kushtakiwa kwa Kuua raia 85 Kimakosa

    Wanajeshi Wawili wanatarajiwa kushtakiwa kufuatia shambulizi la anga lililosababisha vifo vya raia 85, Desemba 3, 2023 katika jimbo la Kaduna, Kaskazini-Magharibi mwa nchi hiyo Shambulizi hilo linatajwa lilitokea wakati wa maadhimisho ya Kidini ambapo ndege ya Kijeshi isiyo na rubani iliyokuwa...
  2. Informer

    Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kilichopo Jijini Tanga wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kufanya uzembe uliosababisha kifo cha Mama mjamzito Fatuma Mussa Suleiman (36) Mkazi wa Magaoni, aliyefariki baada ya kuwekewa damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na...
  3. BICHWA KOMWE -

    Nimemtukana Baba Mkwe kimakosa: Natamani kukimbia mkoa, nimechanganyikiwa

    Ukisikia kuyabananga, basi mie komwe sio tu nimeyabananga, nimeyavaa jumla jumla. Nimeboronga, nimekanyaga divi bichi. Baba mkwe wangu ni mwanajeshi, ana nyota nyingi begani, jitu jeusi, refu, linatisha na lina matuta usoni kama Mizengo Pinda. Alikuja nyumbani kwangu kwenye sherehe ya...
  4. BARD AI

    Unaweza kurudisha Muamala wa Fedha iliyotumwa kimakosa kwenye akaunti yako ukiwa umefulia mbaya?

    Chukulia umekata ringi balaa halafu mtu kajichanganya katuma fedha kwako iwe kwenye akaunti ya Benki au Simu halafu akaomba urudishe, utatuma hiyo hela?
  5. MSAGA SUMU

    Hivi Mo Dewji akipokea laki moja kimakosa hawezi kukimbia kwa wakala kuitoa?

    Tuseme bilionea yupo asubuhi ofisini anaendelea na majukumu Mara ghafla inaingia laki moja kwenye simu kimakosa, je hapa bilionea hawezi kuacha shughuli zake na kuchukua lifti kwenda kwa wakala kuwahi kuitoa? Hapa tunaongelea bilionea anayewalipa wafanyakazi wake wa viwandani chini ya laki 2...
  6. T

    Nape na January: dhihirisheni basi kwamba JPM aliwatema kimakosa!

    Mh Nape! Hatukufichi mkuu, wewe huna chochote mpaka sasa ulichosaidia wananchi kwenye wizara yako zaidi ya kuwakamua tuu kupitia vifurushi huku huduma zikiwa mbovu zaidi, Haujawahi kuwatetea hata kidogo wananchi uwapo kwenye vikao vyenu na makampuni haya ya mitandao na cha ajabu umekuwa wa...
  7. T

    Sophia Mjema, baada ya kuzuia upigaji Vishikwambi. Angazia na hawa HESLB waturejeshee pesa walizotukata kimakosa. Prof. Mkenda limemshinda

    Hawa HESLB wana tabia ya kuzidisha makato ya marejesho ya mkopo bidi unapomaliza marejesho ya mkopo kwa kuendelea kukata mishahara yetu kila mwezi, hata kwa zaidi ya miezi 3 hadi 6 inategemea ya wepesi wako wa kuwafuata kwenda kulalamika. Baado ya hapo ukiomba kurejeshewa makato yaliyokatwa...
  8. BARD AI

    Baraza la Ulamaa latengua uamuzi uliovunja Ndoa ya Dkt. Mwaka

    Uamuzi huo umetolewa baada ya Baraza hilo kukutana kwa dharula na kutamka kuwa Ndoa ya Juma Mwaka Juma ‘Dr Mwaka’ na mke wake Qeenie Oscar Masanja haijavunjika kwa kuwa kuna malalamiko yaliyopelekwa katika Ofisi ya Qadhi. Taarifa ya Baraza inakuja ikiwa ni siku chache tangu Kikao cha Kamati ya...
  9. De Opera

    Utumivu wa maneno kimakosa katika kiswahili

    Wapwa, habari za muda huu? Kuna neno 'Onyesha' naona linatumika vibaya na mara nyingi limekuwa likitumika mahali ambapo si mahali pake. Kuna maneno mawili watu tumekuwa tukiyachanganya 'Onesha' na 'Onyesha'. 'Onesha' likisimama kwa maana ya kumfanya mtu atazame kitu au jambo fulani, wakati...
  10. BARD AI

    Waliofungwa kimakosa kwa mauaji ya Malcom X kulipwa Tsh. Bilioni 83.9

    Machi 1966, Muhammad Aziz, Khalil Islam na Mujahid Abdul Halim walihukumiwa kifungo kwa mauaji hayo na kisha Halim alikiri kumuua Malcom X, ingawa alikuja kuachiwa huru mwaka 2010. Novemba 2021, Mamlaka za Jiji la New York zilithibitisha kuwa Aziz na Islam waliokaa jela miaka 20 hawakuhusika na...
Back
Top Bottom