joh makini

  1. M

    CHADEMA wakiwa kwenye ubora wao walihamasisha hadi Joh Makini na wenzake kutunga wimbo wa kiharakati uitwao Bye Bye

    Wakuu tukiacha masikhara na tukiwa wakweli lazima tukiri kuna miaka CHADEMA ilikuwa ya moto mno kisiasa. Ilikuwa haishikiki. Jijini Arusha na wilaya za jirani walikuwa hawaambiwi kitu kuhusu CHADEMA. Jamaa walikiwasha sana. Mwaka 2005 - 2015 zilikuwa ni zama za dhahabu kwa CHADEMA. Ilikuwa...
  2. Mjanja M1

    Joh Makini alalamika kukosa sapoti kwenye wimbo wake

    Msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini Joh Makini, amelalamika kukosa sapoti toka kwa msanii mwenzake aliefanya nae wimbo. Joh ameandika kwenye ukurasa wake wa X, “Hii tasnia yetu bana kuna vitu vinafikirisha sana sometimes kufundishana uoga kwiingi mtu anakubali kushiriki kwenye wimbo kiroho...
  3. BARD AI

    Prof. Jay, AY & Chid Benz vs Fid Q, Mwana FA & Joh Makini vs Ngwair, Langa & King Zillah, Utasikiliza kundi gani hapo?

    Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za 1. Prof. Jay, AY & Chid Benz 2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini 3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
  4. Saad30

    Mimi ni shabiki wa Fid Q lakini Joh Makini kashinda

    Fid Q namkubali sana kwa barz. Leo baada ya kupiga mitungi nikasema nisikilize ngoma za Fid Q na Joh makini. Lakini katika nyimbo zilizo nivutia katika mzuka ni hizi hapa. Fid Q wimbo walk it off Joh makini nusu nusu. Nikasikiliza midundo inafanana kimzuka. Lakini katika barz asee niseme...
  5. LIKUD

    Nafsi ya Joh Makini imeshindwa kukubaliana na ukweli Mchungu kuhusu mapokezi duni ya wimbo wake mpya uitwao "Bobea"

    Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla. Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya ziada ku push wimbo kwenye social networks (jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na.mwanamuziki wa...
  6. Analogia Malenga

    Tuchukue lipi, Tuache lipi kwa mistari hii ya Joh Makini

    TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI? STIMU ZIMELIPIWA (COPY MY MOTION) Hii ni segment mpya ambayo itakuwa inaangazia wasanii waliotamka kauli zinazokinzana. Tuanze na John Simon "Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini" kwenye wimbo wake uliotajwa hapo juu. "I'M BIG FISH IN THIS OCEAN" DAKIKA ya kwanza...
  7. Verified

    Nje ya box: Verse 1 (Nikki wa Pili)

    Mungu nijalie demu mpenda pesa Kila siku nipigane kuwa Bakhresa asinipende mimi apende Verosa Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa Malighafi ya suruali si boxer Siri nyingi mahali dingi alikosa Demu wa shida na raha na misoto sana, Huyo demu hanifai changamoto hana, ikiwa demu wako anapenda...
  8. M

    Hongera Joh Makini na Weusi kwa kutojishughulisha na kampeni

    Pongezi kwa kusimamia weledi wa fani yenu. Nakumbuka tangu Uchaguzi Mkuu wa 2010, 2015 na wa mwaka huu mmeendelea na msimamo wenu wa kutotumika kupiga kampeni kwenye upande wowote wa siasa. Hii ni nzuri sana ili kutowagawa mashabiki wenu. Keep it up
Back
Top Bottom